THC 1st ANNUAL GALA DINNER YAFANYIKA HOUSTON
Jumuiya ya Watanzania usiku wa jana ilifanya Dinner Gala ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Safari Texas Ranch. Mgeni rasmi katika Dinner hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa wa Watanzania kutoka nje na ndani jiji la Houston alikuwa ni Sheriff wa Harris County Adrian Garcia. Pata picha za shughuli hiyo hapa chini.Sheriff Garcia akiwa na wenyeji wake kutoka kushoto Mahono, Katibu Nkunga, Monica, Madam President Nuru Mazora,Mrs.Garcia,Mama Tenende na Mzee Tenende
Sheriff Garcia akipata selfie na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HU7xE7Noobs/VEihGGmTmCI/AAAAAAAAMhM/3Tg9v1Btqlo/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wzZ2yc5_alw/VJSeW1hPFmI/AAAAAAAAMqk/usng0ONB5YU/s72-c/securedownload.png)
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TTYdUqRzqyo/VEiVrUr7VNI/AAAAAAAGs4M/EQYqIveH91M/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Lf4fLRXs1Rw/VJBmh70u9DI/AAAAAAAAMp0/hFLIa8jXl5s/s72-c/gala2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BYoHGnNpK08/VbH_rzRWeVI/AAAAAAAD0sc/y3zerD5xPZk/s72-c/dinner%2Btangazo.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 May
Gala Dinner ya African Day Washington, DC
Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. African day ya mwaka huu iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa Rwanda.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa kwenye gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African Day...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qJZVJjXf4PQ/VB8G6uE2LtI/AAAAAAAAL6A/eqG6YYZyq9o/s72-c/D92A1273.jpg)
MADAKTARI AFRICA GALA DINNER NEW YORK
![](http://1.bp.blogspot.com/-qJZVJjXf4PQ/VB8G6uE2LtI/AAAAAAAAL6A/eqG6YYZyq9o/s640/D92A1273.jpg)
The Madaktari...