Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THE BLACK AND WHITE PARTY JUNE 13 DMV


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

EDDAH'S THE BLACK AND WHITE PARTY BALAA

Wadau mbali mbali wakazi wa DMV na vitongoji vyake wakiwa wamependeza kwenye Black and White Party iliyofanyika siku ya Jumamosi June 13, 2015 Burtonsville, Maryland nchini Marekani.Wadau waliojitokeza kwenye black and white party wakipozi kwa picha za kumbukumbu.Black and white party iliyofanyika Burtonsville, Maryland siku ya Jumamosi June 13, 2015.Kila mtu akiwa amependeza na kuupamba usiku wa black and white party iliyofanyika siku ya Jumamosi June 13, 2015.Kwa picha bofya soma zaidi

 

10 years ago

Michuzi

MoFLAVA ALL WHITE TOUR/PARTY IN DALLAS TX JUNE 20 2015

ZAMU YA WATANZANIA WAISHIO DALLAS TX KU-EXPERIENCE ILE TOUR NA PARTY KUBWA KABISA YA MoFLAVA ALL WHITE IMEKARIBIA. SATURDAY 20Th JUNE 2015, AT KENNYS ULTRA LOUNGE. WATANZANIA MUISHIO DALLAS TEXAS MSIKOSE HII NI KWA AJILI YENU. REMEMBER DRESS CODE IS "ALL WHITE"!! PEOPLE WITH LESS THAN 50% WHITE OUT FIT WILL PAY MORE TO ENTER THE PARTY. ANGALIA PICHA ZA LAST PARTY ILIYOFANYIKA CINCINNATI OHIO LAST SATURDAY JUNE 6TH 2015
Kwa picha za party iliyopita BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Black &White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24

Na Andrew ChaleWABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...

 

10 years ago

Dewji Blog

Black & White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin kufanyika leo ndani ya M.O.G Bar

Asia Idarous Khamsin

..Ndani ya M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) Desemba 24

Na Andrew Chale

WABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa leo Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.

Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya Zari All White Party, leo ni Instagram Party ndani ya Jembe Beach Mwanza Hosted by Wema Sepetu na Idirs Sultan

IMG-20150501-WA0003

Na Modewji blog team

Ikiwa siku moja tu kufanyika kwa party iliyokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na  Zari  the Boss Lady, mchumba wa mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz ‘Chibu Dangote’, Kwa upande wake  mpenzi wa zamani staa huyo, Wema Sepetu Jumamosi ya leo Mei 2, wanafanya bonge la shoo  ijulikanayo kama ‘Instagram Party Mwanza, ndani ya jiji la Mwanza, katika kiota cha Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother...

 

11 years ago

GPL

BLACK & WHITE AFTER VALENTINE'S BASH!

Black and White After Valentine Bash, kutakuwa na Red Carpet pamoja na Nyama Choma. Tare 22 February 2014 ndani ya Milton Keynes, Ukumbi wa Kiln Farm Pub.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani