THE LADIES WAKALI WA VITAFUNWA JIJINI DAR ES SALAAM
Ujasiriamali ni jambo lililojema miongoni mwa jamii. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kukosa vitu vya kufanya ili kuweza kujipatia kipato na kuacha kuwa tegemezi kwa wazazi au waume na hata wakati mwingine wake zao. Wana dada wawili marafiki ambao kwa bahati majina ya ubini ya wazazi wao yanafanana na wao kuamua kujiita ndugu, Joan Joseph Massawe (pichani kulia) na Angel Fabian Massawe wao kwa kuliona hilo waliamua kuanzisha bishara ambayo itawapatia kipato cha ziada mbali na ajira zao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SvKI_8oz9dY/VK7_6kEykrI/AAAAAAAG8Hw/RBaqxu0QCFk/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RcjXjDLdreE/VaUgWi8xUvI/AAAAAAAAhUk/d12LjyT_u0w/s72-c/35.jpg)
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/136.jpg)
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://3.bp.blogspot.com/-3FvDjqPdnng/U9VIpXDi-NI/AAAAAAACzvw/xGx8-QGxyvs/s1600/image.jpeg)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82071000/jpg/_82071904_asisatoshoalafa.jpg)
Liverpool Ladies 2-1 Birmingham City Ladies
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81913000/jpg/_81913003_sunderlandladies.jpg)
Liverpool Ladies 1-2 Sunderland Ladies
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SU11xMyg3Lw/VXHqgznO-iI/AAAAAAAHcZY/HuG4rqvn9jY/s72-c/unnamedss1.jpg)
wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar
Akiongea mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli awasili jijini Dar, ajitambulisha kwa wana Dar Es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHCLh9DPVJeqoVbGnE*sswoNyVUM*V4n8L4oQd71fXszXBT1188JXXY*1FgD5AVTNRVr4PdnwuJ4oWcqgZ-ZuhP/TangazolaDarLiveDisco.jpg?width=750)