THE LEGEND DJ JD
Ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwako kwa upendo na support yako, kama ulifanikiwa kufika siku ya jumamosi na ijumaa ilikuwa bomba sana, and could have never been possible without you, one way or the other. Thank you very much, naomba Mungu aendelee kukupa nguvu na upendo. Naomba nikukumbushe kuwa jumamosi hii tarehe 1/11 ndio siku ya sheree za kutimiza miaka 2 (2nd anniversary) tangu kurejea kwa Legend, this is where I need your support the most, mjulishe kwa ujumbe huu yeyote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71579000/jpg/_71579588_promo-320.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Malian Legend Sidi Touré
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/0DB8/production/_85321530_gyamfi.jpg)
Ghanaian legend Gyamfi passes away
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73225000/jpg/_73225130_coluna.jpg)
Mozambique mourns legend Coluna
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72101000/jpg/_72101230_020513291-1.jpg)
Portugal legend Eusebio to be buried
9 years ago
Global Publishers24 Dec
John Legend kupata mtoto wa kike
Staa wa muziki wa R&B, John Legend akiwa ameshika tumbo la mkewe (Chrissy).
KAMA ulikuwa unajiuliza kama staa wa R&B, John Legend anayetamba na Ngoma ya All of Me atapata mtoto wa kike au wa kiume, jibu umeshalipata baada ya juzi kati kuweka wazi.
John Legend akiimba moja ya nyimbo zake jukwaani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, John Legend ambaye anaishi na mkewe, Chrissy Teigen aliweka wazi jina la mtoto na hiyo ilikuwa baada ya kufanyiwa mahojiano na Jarida la Vogue toleo la Thailand.
9 years ago
Mtanzania15 Oct
John Legend, Chrissy watarajia mtoto
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, John Legend na mke wake, Chrissy Teigen, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
Wawili hao walifanikiwa kufunga ndoa Septemba 2013, lakini hawakufanikiwa kupata mtoto kwa kipindi kirefu.
“Tuna furaha kubwa kutangaza kwamba tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza, sio kazi rahisi lakini tunamshukuru Mungu kwa kusikia kilio chetu, tunatarajia kuongeza familia yetu,” alisema Chrissy kupitia akaunti yake ya Instagram.
Mwanamitindo huyo mwenye...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80512000/jpg/_80512995_leroy.jpg)
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72086000/jpg/_72086369_eusebio.jpg)
Portugal legend Eusebio dies aged 71
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10