John Legend, Chrissy watarajia mtoto
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, John Legend na mke wake, Chrissy Teigen, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
Wawili hao walifanikiwa kufunga ndoa Septemba 2013, lakini hawakufanikiwa kupata mtoto kwa kipindi kirefu.
“Tuna furaha kubwa kutangaza kwamba tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza, sio kazi rahisi lakini tunamshukuru Mungu kwa kusikia kilio chetu, tunatarajia kuongeza familia yetu,” alisema Chrissy kupitia akaunti yake ya Instagram.
Mwanamitindo huyo mwenye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo524 Dec
Picha: Teddy Kalonga ashiriki kwenye kampeni moja na Jennifer Lopez, Jimmy Kimmel na mke wa John Legend, Chrissy Teigen
9 years ago
Global Publishers24 Dec
John Legend kupata mtoto wa kike
Staa wa muziki wa R&B, John Legend akiwa ameshika tumbo la mkewe (Chrissy).
KAMA ulikuwa unajiuliza kama staa wa R&B, John Legend anayetamba na Ngoma ya All of Me atapata mtoto wa kike au wa kiume, jibu umeshalipata baada ya juzi kati kuweka wazi.
John Legend akiimba moja ya nyimbo zake jukwaani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, John Legend ambaye anaishi na mkewe, Chrissy Teigen aliweka wazi jina la mtoto na hiyo ilikuwa baada ya kufanyiwa mahojiano na Jarida la Vogue toleo la Thailand.
9 years ago
Bongo513 Oct
John Legend na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa kwanza
10 years ago
Bongo516 Jan
Common na John Legend watajwa kuwania tuzo za Oscar
9 years ago
Bongo501 Dec
Music: John Legend & Stella Artois – Under the Stars
![legend2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/legend2-300x194.jpg)
Msanii wa R&B, John Legend ameachia na nyimbo mpya kwa ajili ya msimu wa mwaka huu wa Christmas na Mwaka Mpya ikiwa ni sehemu ya zawadi kwa mashabiki wake. Wimbo unaitwa “Under the Stars”,
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo515 Sep
Sauti Sol waonesha mpango wa kutaka kumshirikisha John Legend kwenye remix ya wimbo wao mpya ‘Isabella ’
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Nyota wa zamani watarajia ushindani mkubwa 2014/15
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10