Picha: Teddy Kalonga ashiriki kwenye kampeni moja na Jennifer Lopez, Jimmy Kimmel na mke wa John Legend, Chrissy Teigen
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga Haight aka TK ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, ameshiriki kwenye kampeni moja pamaja na mastaa wa Marekani wakiwemo Jennifer Lopez, mtangazaji na mchekeshaji Jimmy Kimmel, mke wa John Legend, Chrissy Teigen na mastaa wengine wa Marekani kwenye kampeni ya Live L.A. Give L.A. Kampeni hiyo inawataka wakazi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Oct
John Legend, Chrissy watarajia mtoto
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, John Legend na mke wake, Chrissy Teigen, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
Wawili hao walifanikiwa kufunga ndoa Septemba 2013, lakini hawakufanikiwa kupata mtoto kwa kipindi kirefu.
“Tuna furaha kubwa kutangaza kwamba tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza, sio kazi rahisi lakini tunamshukuru Mungu kwa kusikia kilio chetu, tunatarajia kuongeza familia yetu,” alisema Chrissy kupitia akaunti yake ya Instagram.
Mwanamitindo huyo mwenye...
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Jennifer Lopez aanika mwili wake
LOS ANGELES, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘J.Lo’, juzi alishangaza mashabiki wake kutokana na vazi lake alilovaa kwenye utoaji wa tuzo za American Music Awards, ambapo vazi hilo lilionesha sehemu kubwa ya makalio yake.
Hata hivyo, msanii huyo alionekana hana wasi wasi na nguo hiyo, ambapo aliwaambia mashabiki wake kwamba, huo ulikuwa ni usiku wake na ndiyo maana aliamua kuwa tofauti na wengine.
Msanii huyo amekuwa hakauki na matukio, japokuwa umri wake umekwenda...
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani
NEW YORK, MAREKANI
ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani.
Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini ipo mikononi mwa mwanamume huyo ambaye waliachana miezi 11 tangu kufungwa kwa ndoa yao mwaka 1997.
Pia, Ojani amesema atatoa kopi nyingi za video hiyo ili iweze kusambaa kwa kuwa J. Lo ameshindwa kutimiza
makubaliano yao...
10 years ago
Bongo519 Sep
New Music Video: Jennifer Lopez ft. Iggy Azalea — Booty
10 years ago
GPL19 Sep
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
10 years ago
Dewji Blog10 May