Thewa Onesongchaigym vs Cosmas Cheka

Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziCosmas Cheka kupambana na Suma Ninja Juni 1, 2014 mjini Morogoro
BONDIA Cosmas Cheka anatarajia kupanda ulingoni Juni 1, 2014 kwa ajili ya kutetea taji lake la ubingwa wa TPBO anaoshikilia kwa kupambana na Suma Ninja katika ukumbi wa vijana socil hall wa Morogoro.
Cheka amesema amejiandaa kupigana kawa raundi kumi hivyo mashabiki waje kuona kazi anayoifanya akiwa ulingoni bondia huoyo ambaye anatamba sambamba na kaka yake Francis Cheka ambaye alikuwa bingwa wa WBF ambao alivuliwa kizembe. Amesema yeye anataka afike mbali zaidi ya kaka yake...
11 years ago
GPLIDDY MNYEKE VS COSMAS CHEKA, KING CLASS MAWE VS MOHAMED KASHINDE DES 31, 2013
Bondia Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM, Dar es Salaam. Mabondia hao watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao ambapo Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na 'King Class Mawe' atazidunda na Mohamed Kashinde Desemba 31 mwaka huu katika ukumbi wa Msasani Club. Kulia ni kocha mkongwe Habibu Kinyogoli 'Master' (Picha na SUPER D) ...
10 years ago
Michuzi31 Dec
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUZICHAPA FEBRUARI 28,2015
10 years ago
Vijimambo31 Dec
MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28
10 years ago
Vijimambo02 Mar
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
10 years ago
Vijimambo
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
GPL11 years ago
GPLWANANDOA COSMAS NA ROSE WAMEREMETA
Wanandoa Cosmas na Rose wakimeremeta wakati wa harusi yao iliyofungwa katika Kanisa la Mwananyamala na baadaye hafla iliyofanyika Mayfair Plaza, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maharusi wakipozi na kamati ya maadanlizi ya harusi.…
11 years ago
IPPmedia20 Aug
HESLB Director of Information, Education and Communications, Cosmas ...
IPPmedia
IPPmedia
The Higher Education Students' Loan Board (HESLB) has said that it had planned to offer loans to 5,000 Diploma in Education students majoring in mathematics and science at the University of Dodoma in the comiUnfortunately, up to now, only 480 students ...
HESLB to sponsor science teaching diploma studentsDaily News
all 2
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania