IDDY MNYEKE VS COSMAS CHEKA, KING CLASS MAWE VS MOHAMED KASHINDE DES 31, 2013
Bondia Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM, Dar es Salaam. Mabondia hao watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao ambapo Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na 'King Class Mawe' atazidunda na Mohamed Kashinde Desemba 31 mwaka huu katika ukumbi wa Msasani Club. Kulia ni kocha mkongwe Habibu Kinyogoli 'Master' (Picha na SUPER D) ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi31 Dec
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUZICHAPA FEBRUARI 28,2015
10 years ago
Vijimambo31 Dec
MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28
10 years ago
Vijimambo02 Mar
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
11 years ago
Michuzi20 Apr
MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
9 years ago
MichuziKOCHA SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS "KING CLASS MAWE"
11 years ago
Michuzi10 Jun
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA