MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO
Bondia Francis Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Jumamosi jijini Dar es salaam. Mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya kufungana point
Bondia Francis Cheka kushoto akipambana na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
10 years ago
Vijimambo31 Dec
MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Miyeyusho, Cheka washindwa kutamba
MABONDIA wa Tanzania, Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ na Francis Cheka ‘SMG’, juzi walishindwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania katika mapambano yao ya kimataifa yaliyopigwa Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar...
10 years ago
Michuzi31 Dec
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUZICHAPA FEBRUARI 28,2015
10 years ago
Vijimambo02 Mar
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
11 years ago
GPLIDDY MNYEKE VS COSMAS CHEKA, KING CLASS MAWE VS MOHAMED KASHINDE DES 31, 2013
9 years ago
MichuziKOCHA SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS "KING CLASS MAWE"