Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


This is how socialite Jack Pemba makes his millions

This is how socialite Jack Pemba makes his millions  The Citizen Daily

The Citizen Daily

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

‘All work and no play makes Jack a dull boy’

Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who played for the Oklahoma City Thunder in the US. Thabeet began to play basketball at the age of 15, when he was a student at Makongo Secondary School in Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo

IMG-20140911-WA0023

Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.

DSC_0159

Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.

DSC_0036

Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band

DSC_0002

Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.

DSC_0014

Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...

 

9 years ago

TheCitizen

Tanesco puts socialite on spot

Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Kinondoni North has disconnected power supply to a house at Kijitonyama allegedly rented by Miss Tanzania 2006 winner Wema Sepetu.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Tanesco Puts Socialite on Spot


Tanzania: Tanesco Puts Socialite on Spot
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Kinondoni North has disconnected power supply to a house at Kijitonyama allegedly rented by Miss Tanzania 2006 winner Wema Sepetu. Tanesco Kinondoni North Public Relations officer ...

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO‏

Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack's huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel's kusindikiza usiku huo. Divas wa Skylight Band… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Hoteli mpya ya New Pemba Seaview yafunguliwa Machomane, Pemba


Mwonekano wa Hoteli WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na wananchi wa Machomanne Chake Chake Pemba, kabla ya kuifunguwa hoteli ya Muwekezaji Mzalendo wa Pemba.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akihimiza jambo kabla ya kuifungua hoteli ya Mzalendo kisiwani Pemba, Halfan Hababu (Kidishi)kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa pamoja na viongozi mbali...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.

Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani