Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoteli mpya ya New Pemba Seaview yafunguliwa Machomane, Pemba


Mwonekano wa Hoteli WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na wananchi wa Machomanne Chake Chake Pemba, kabla ya kuifunguwa hoteli ya Muwekezaji Mzalendo wa Pemba.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akihimiza jambo kabla ya kuifungua hoteli ya Mzalendo kisiwani Pemba, Halfan Hababu (Kidishi)kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa pamoja na viongozi mbali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba

Katika kukabiliana na mapato finyu,serikali ya Zanzibar imekuwa ikitilia umuhimu sekta ya utalii ambapo huko Pemba pamejengwa hoteli chini ya bahari

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.

Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA SHILINGI MILIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.
Bw.Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW. SULEIMAN SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AFUNGUA MSIKITI MPYA KINYASINI PEMBA

MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika eneo la Msikiti wa Kinyasini na kupokelewa na Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe:Abubakar Khamis Bakary, kwa lengo la kuufungua mskiti huo.MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mwakilishi wa Jumuiya ya IHH kutoka uturuki, mara baada ya kuwasili katika mskiti wa Kinyasini Uliojengwa na Mfadhili Hassan Hussein kutoka Uturuki. MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATEMBELEA MASHAMBA NA KUZINDUA MSIMU MPYA WA KARAFUU PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizindua ununuzi wa karafuu kwa msimu wa mwaka 2014-2015 katika kituo cha ZSTC Mkoani Pemba,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda  na Masoko Nassor Ahmed Mazrui ,zoezi hilo lilifanyika leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia zao la karafuu alipotembelea katika shamba la Bw.Said Sinani  (hayupo pichani) Shumbageni Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum.Rais...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hoteli ya wanyama yafunguliwa Singapore

Hoteli moja ya kifahari ya wanyama wa kufugwa nyumbani imefunguliwa nchini Singapore.

 

11 years ago

Michuzi

UZUNDUZI WA MRADI MKUBWA WA NJIA MPYA YA MAWASILIANO UNAOUNGANISHA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA UPANDE MMOJA NA UNGUJA NA PEMBA KWA UPANDE MWINGINE

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Profesa Makame Mbarawa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa njia mpya ya mawasiliano inayounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine kwenye sherehe zilizofanyika Pemba hivi karibuni.  Wawakilishi wa balozi mbalimbali na viongozi wa serikali wakiwa kwenye uzinduzi rasmi wa Mradi huo  Wageni mbalimbali  wakiwa kwenye uzinduzi huo mjini Pemba.  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani