THRDC na harakati za kutetea watetezi wa haki za binadamu
MTETEZI wa haki za binadamu ni mtu yeyote ambaye amejitolea kupinga dhuluma na uonevu dhidi ya binadamu. Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakuhitaji kuwa na shahada wala stashahada kama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
THRDC watoa tamko kwa umma juu ya hali ya watetezi wa haki za wafugaji Loliondo
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu THRDC Taifa, Bw. Onesmo Olengurumwa, akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la kulaani vikali kutishwa kwa watetezi wa haki za wafugaji walioko Loliondo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dar es Salaam.
tamko loliondo chragg kiswahili.doc by moblog
11 years ago
Habarileo17 Mar
Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu
MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
UB yawaasa watetezi haki za binadamu
CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimewataka washiriki 10 wa mafunzo ya utetezi wa Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria kutoka nchi za Afrika Mashariki ( EAC), kuhakikisha wanashiriki mafunzo...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
IIED: Watetezi haki za binadamu wasaidiwe
JAMII imeshauriwa kutoa msaada kwa watetezi wa haki za binadamu katika maeneo yao ili kujenga misingi bora. Ushauri huo umetolewa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Polisi kushirikiana na watetezi wa haki za binadamu
JESHI la Polisi nchini limeahidi kufanya kazi kwa ukaribu na watetezi wa haki za binadamu ili waweze kutekeleza majukumu yao katika hali ya usalama. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Ujue uhusiano wa Jeshi la Polisi na watetezi wa haki za binadamu
HIVI karibuni Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) ulifanya mkutano wa siku moja uliowakutanisha maofisa waandamizi 30 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Mkutano huo ulilenga kutafuta mahusiano mazuri kati...
9 years ago
StarTV18 Sep
Tanzania yatakiwa kutekeleza mapendekezo 107 ya  Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu
Tanzania umeitaka Serikali kuyafanyia kazi mapendekezo 107 yaliyotolewa na wadau wanaosimamia haki za binadamu.
Wamesema ni muhimu Serikali ikubali mapendekezo hayo ili kuhakikisha sheria mbalimbali zinatekelezwa na kuzipa fursa asasi za kiraia kufuatilia na kuwasaidia wananchi kuzifahamu sheria hizo.
Akizindua Ripoti ya Utekelezaji wa mapendekezo 107 ya Haki za Binadamu Tanzania, Mkurugenzi wa Tume za Haki za Binadamu, Onesmo- Olengulumwa amesema Serikali imeyatekeleza mapendekezo hayo kwa...
10 years ago
MichuziMabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah
10 years ago
Michuzi12 Apr
MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU
Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...