TIC YASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA
.jpg)
Makamu wa Rais,Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki wakati alipotembelea Banda la Kituo hicho kwenye Maonyesho ya Kongamano la Uwekezaji yaliyoanza jana kwenye hoteli ya Malaika jijini Mwanza .Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo ambaye ndie Mwenyeji wa Kongamano hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki (katikati) akisaini Mikataba ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

11 years ago
Michuzi
KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...
11 years ago
Michuzi15 Feb
5 years ago
CCM Blog
MIKOA YA KANDA YA ZIWA YAKUMBWA NA TETEMEKO

Mjolojia Mwandamizi kutoka taasisi ya Jiolojia Bwana Gabriel Mbogoni amesema Tetemeko hilo lina ukubwa wa 4.6 katika Vipimo vya Richta.
Bwana Mbogoni amesema Tanzania imepitiwa na mkondo wa bonde la ufa la Afrika Mashariki ikiwa na mikondo miwili mkondo wa Mashariki na mkondo wa Magharibi hivyo matukio ya mateteko ya ardhi...
11 years ago
MichuziMatunda ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa yaanza kuonekana
Mwekezaji huyo amevutiwa zaidi...
11 years ago
Michuzi
Maandalizi ya Kongamano la Uwekezaji katika Maeneo ya Kanda ya Ziwa yanaendelea


11 years ago
Michuzi
KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAMALIZIKA LEO JIJINI MWANZA


11 years ago
Michuzi
KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO KWA SIKU YA PILI JIJINI MWANZA

11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO



Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10