Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tido Mhando:Mambo magumu zaidi

Tido Mhando kwenye simulizi zake hizi za kila wiki kwenye gazeti hili la Mwananchi Jumapili, anaelezea kwa muhtasari baadhi ya mambo kati ya mengi aliyokabiliana nayo kipindi kirefu alichofanya kazi ya utangazaji wa redio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Mambo ya wakubwa

Kwenye simulizi zake za kila Jumapili, Mwanahabari wa siku nyingi, hasa kwenye fani ya utangazaji, Tido Mhando anasimulia kwa ufupi mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake cha miaka 45 kazini.

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Uhasama zaidi

Kama kulikuwa na mwaka ambao labda ungeelezewa kuwa ndiyo kilele cha uhasama uliokuwepo baina ya Tanzania na Kenya, basi ulikuwa ni mwaka huo wa 1982.

 

5 years ago

Michuzi

SASA NI WAKATI KUWAPA BURUDANI ZA KINYUMBANI ZAIDI WATAZAMAJI WETU-TIDO MHANDO

       Na.Khadija seif, Michuzi tv

  - Rich rich aona Raha ya kuwepo Azam tv, tamthilia 4 madebe na shilingi yake.

KAMPUNI ya Azam media imezindua filamu nne kwa mpigo jijini leo jijini Dar es salaam.
 Akizungumza na Michuzi tv Mtendaji mkuu wa kampuni ya Azam Media, Tido Mhando amesema Sasa ni wakati wa kuwapa burudani za kinyumbani zaidi watazamaji wao.

"Tumekuwa tukipokea malalamiko,maoni na ujumbe kutoka kwa watazamaji wet,u kupitia mitandaoni kuhusu juu ya kutaka kuona tamthilia za...

 

10 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Ziara ya Kinshasa

Kwa muda wa karibu miaka miwili sasa, mwandishi wa habari wa muda mrefu, Tido Mhando, amekuwa akiandika simulizi zake hizi kutokana na mengi aliyokutana nayo katika kipindi kirefu cha kufanya kazi hii, hasa kama mtangazaji wa redio.

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Msiba mzito

Katika simulizi zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando anadokeza baadhi ya matukio ya kusisimua aliyokabiliana nayo kwenye kipindi cha zaidi ya miaka 40 ya utangazaji wa redio.

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Awamu ya pili

Kwenye makala zake hizi za kila wiki, Tido Mhando ambaye amefanya kazi ya utangazaji wa redio kwa muda mrefu sana anahadithia baadhi tu ya mambo aliyokabiliana nayo kwenye kipindi chote hicho cha zaidi ya miaka 45 sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Mkutano wa dharura

Mwanzoni mwa mwaka huu, Tido Mhando alitimiza miaka 45 katika tasnia ya habari, ambapo ndani ya muda huo, kwa kipindi kirefu alikuwa zaidi kwenye fani ya utangazaji wa redio.

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando aaga Mwananchi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando amewaaga wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka miwili na nusu.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani