Tigo donates 320m/- to support clubfoot treatments at CCBRT
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akimkabidhi mkataba Afisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT Erwin Telemans mara baada ya kusaini mkataba wa kampuni ya Tigo kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa hospitali ya CCBRT.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kutibia watoto waliozaliwa na matatizo ya kupinda miguu.
Afisa Mtendaji Mkuu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen28 Apr
Bank, CCBRT seal deal to treat clubfoot
10 years ago
Poaching Efforts20 Jul
China donates 50 vehicles to Tanzania to support anti
Telegraph.co.uk
Shanghai Daily (subscription)
DAR ES SALAAM, July 19 (Xinhua) -- Tanzania's anti-poaching crusade received a boost on Sunday when the Chinese government donated 50 special vehicles worth 1.3 million U.S. dollars for patrolling in the East African nation's parks and game reserves.
Inside The Elephants' Graveyard of TanzaniaThe New Indian Express
Watch how drones keep elephants away from danger in...
10 years ago
GPLTIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76759000/jpg/_76759020_c0213035-ebola_virus_particles%2C_tem-spl.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...
5 years ago
Vox.Com12 Apr
Coronavirus treatments: New studies on hydroxychloroquine and remdesivir
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
5 years ago
Aljazeera.Com03 Mar
China looks to recovered to develop effective COVID-19 treatments