Tigo Pesa yawa ya kwanza duniani kugawa faida kwa wateja
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa fedha wa Tigo Pesa kwa ajili ya wateja wao. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na Meneja Masoko na Usambazaji wa Tigo Pesa Catherine Rutenge (kulia).
Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu gawio la shilingi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
Tigo Pesa yarejesha tena faida ya shilingi 3bn/- kwa wateja wake
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo imetangaza leo kwamba imetoa malipo yake ya kwanza ya kila robo mwaka ya kiasi cha shilingi bilioni 3 (dola milioni 1.8) kwa wateja wake wa Tigo Pesa. Mgao huu ni wa kwanza kati ya awamu nne za malipo zinazotarajiwa kufanyika kila mwaka.
Malipo haya yanafanyka miezi mitatu baada ya kampuni hiyo kulipa kiasi cha shilingi bilioni 14.25 (dola milioni 8.64) ambacho kilikuwa kimelimbikizwa katika mfuko wa fedha ya akaunti ya Tigo Pesa,...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Wateja wa Tigo Pesa kuvuna faida ya bilioni 3.3 kwenye malipo ya kila robo mwaka
Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza malipo ya faida ya hisa za tigo pesa kwa wateja wake katika robo mwaka mwingine, malipo haya ni jumla ya kiasa cha pesa bilioni 3.314 sawa na dola za kimarekani milioni 1.8. Huu ni ugawaji wa faida ya robo ya pili kwa mwaka huu.
Lengo letu ni kuhakikisha kuwa wadau wote wa Tigo Pesa, ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala wa reja reja na washirika wetu wa kibiashara ambao watashiriki kwenye gawio la faida hii ni kutokana na thamani ya kietronikia...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MC94Kwn2qog/UwHBfQwZTgI/AAAAAAAFNfs/5JXHcqTKoiU/s72-c/unnamed+(2).jpg)
NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...
5 years ago
Michuzi19 May
Wateja Tigo Pesa wavuna shilingi bilioni 2.7
![](https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/05/2402779_Screen_Shot_2020-05-15_at_10.31.07.png)
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kupitia simu za mkononi wa Tigo Tanzania, Angelica Pesha, amesema Tigo imewalipa...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Wateja wa Tigo Pesa kuvuna shilingi bilioni 3.8
Mkuu wa Huduma za Kifedha Kwa Njia ya Mtandao wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tigo Dar es Salaam, kuhusu Wateja wa Tigo Pesa kupata faida ya robo mwaka ya shilingi bilioni 3.8. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja.
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Wateja wa Tigo Pesa kujipatia bilioni 3.3 zingine
Kaimu Meneja Mkuu, Cecile Tiano.
Tigo Tanzania imetangaza mgao mwingine wa malipo kutoka kwenye mfuko wa fedha wa Tigo Pesa wenye thamani ya shilingi bilioni 3.3 (US $ 1.8) kwa wateja wake. Mgao huu wa fedha ndio wa kwanza katika robo wa mwaka huu.
Malipo haya ni ongezeko la asilimia 6 ukilinganisha na mgao uliopita wa bilioni 3.1 uliotolewa katika robo ya mwaka iliyopita 2014. Ongezeko hili linaashiria ukuaji wa umaarufu wa huduma hii pamoja na ongezeko la idadi ya watumiaji wa Tigo Pesa,...