Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu 72 kushiriki Ester Cup 2014, mshindi kupata sh 1.5 million

 Mbunge wa Viti  Maalum kwa vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Ester Cup yatakayofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba na uwanja wa Shule ya Msingi Bunda.
Jumla ya timu 72 zitashiriki katika mashindano ya soka ya Ester Cup ambayo huandaliwa na Mbunge wa Viti  Maalum Mkoa wa Mara, kwa tiketi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ester Bulaya.
Mashindano hayo, yanafanyika mwaka huu kwa msimu wa nne...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Timu nane kushiriki Super Cup ya DB

ZAIDI ya timu nane za kikapu mkoa wa Dar es Salaam zinatarajiwa kushiriki kwenye mashindano ya Super Cup yatakayoanza kutimua vumbi kuanzia keshokutwa.

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: TIMU YA KAGONDO YAITUNGUA BUHEMBE FC BAO 1-0

Na Faustine Ruta, Bukoba. Timu ya Kagondo FC imejipatia Alama tatu muhimu kwenye Mtanange wao dhidi ya timu ya Buhembe FC leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kwenye Michuano ya Kombe la Kagasheki. Bao hilo la pekee lilifungwa na Mchezaji namba tisa Mgongoni Abduratif Khamis katika kipindi cha kwanza dakika 37.  Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa bao hilo 1-0 na kipindi cha pili timu zote mbili hakuna iliyoziona nyavu za mwezake timu licha ya kushambuliana mara kwa mara. Mwamuzi...

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO.
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT   MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.

Balozi Peter Kallaghe leo amekutana na Uongozi na Team Captains wa timu inayowakilisha Tanzania katika Mashindano ya African Nations Cup UK 2014.  Mashindano hayo yanategemewa kuanza Kesho katika Viwanja vya WESTHAM MEMORIAL GROUNDS. MEMORIAL AVENUE E15 3BD.   WATANZANIA WOTE MNAOISHI UINGEREZA HUSUSAN MAENEO YA LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KUISHANGILIA TIMU YETU. RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE NI KAMA ILIVYOAMBATANISHWA.   Kituo cha Karibu ni WESTHAM STATION iliyoko...

 

11 years ago

Michuzi

HAWA NDIO WACHEZAJI 32 WANAOTARAJIWA KUNG’ARA ZAIDI NA KUONGOZA TIMU ZAO WAKATI WA FIFA WORLD CUP 2014


Fainali za Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji [scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya wakijua wazi kabisa kwamba pale ndipo watakapoona “lulu” kwa ajili ya vilabu vyao. Kwa maana hiyo kuna kila aina ya harakati za kimichezo na kuonyesha na kuonyeshana vipaji. Hii sio kumaanisha kwamba wachezaji wote mahiri hapa duniani walicheza katika fainali za Kombe la Dunia.La. 
Wapo...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: WANABODABODA RWAMISHENYE FC WATEMA CHECHE TENA, WAIFUNGA TIMU YA NSHAMBYA BAO 4-0. KHALID SELEMAN AFUNGA HAT-TRICK!

Wachezaji timu zote mbili wakisalimiana Rwamishenye FC vs Nshambya FC
Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Rwamishenye Fc leo imeifunga Nshambya mabao 4-0 kwenye mchezo wao wa pili LIGI YA KAGASHEKI. Mtanange wao wa kwanza wa Ufunguzi wa Hii Ligi waliwanyuka bao 3-1 Mabingwa watetezi Bilele Fc 3-1.Rwamishenye waliokuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na makeke ya wachezaji wake ilijikuta Mchezaji wake Hatari Khalid Seleman akifunga bao zote Nne. 
Kipindi cha kwanza Khalid Seleman...

 

9 years ago

Vijimambo

ESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Bw. Mwanjombe amemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo. Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya familia. Bi. Matiku  amepata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kembaki Michael Mwita wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani