TIMU YA KILUVYA UNITED YAITUNGUA AFRICAN LYON KWA MABAO 2-1 LIGI DARAJA LA KWANZA
NA VICTOR MASANGU.KIVUMBI cha ligi daraja la kwanza (FDL) kwa msimu wa mwaka 2015-2016 kinazidi kushika kasi ambapo timu ya Kiluvya United (Wabishi wa Pwani) jana iliweza kuifunga timu ya African Lyon kwa mabao 2-1 katika mchezo uliopingwa katika uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo wa Kundi 'A' ulikuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na kila timu kucheza kufa na kupona kwa lengo la kuweza kuibuka na ushindi na kujinyakulia pointi tatau muhimu ili iweze kujiwekea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSTARTIMES YAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA SFDL
10 years ago
MichuziKiluvya United yaitungua Sinza Star bao 3-0
10 years ago
Vijimambo9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza
10 years ago
MichuziKLABU YA MAJI MAJI YA SONGEA YATANGAZA KIKOSI CHAKE TAYARI KWA LIGI DARAJA LA KWANZA
Kikosi Hicho Ambacho Kitaingia Kambini Muda Wowote Kuanzia Sasa Kina Wachezaji Wapya 12 Ambaoni Osward Issa,Samir Said,Emmanuel Maganga,Ally Mohamed,Kudra Omary,Saud Fundikira,Mrisho Said,Idd Kipagule,Mohamed Omary,Yohana Kumburu Na Msafiri Abdalah Na...
10 years ago
MichuziMWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera.
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera.
9 years ago
Habarileo02 Jan
Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga
LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Vurugu Ligi Daraja la Kwanza zikomeshwe
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10