Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMK WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA MWAKA MPYA 2014 DAR LIVE

Kundi la TMK Wanaume Family likiwapagawisha mashabiki wa Dar Live kwa burudani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, WEUSI, WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA PASAKA DAR LIVE

Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo. Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi.…

 

11 years ago

GPL

TMK WANAUME FAMILY KABLA YA KUPANDA STEJI YA DAR LIVE

Baadhi ya wanamuziki wa kundi la TMK Family kutoka kushoto ni Chegge, YP na Mhe. Temba kabla ya kupanda steji ya Dar Live usiku huu wa kusherehekea mwaka mpya 2014. (PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)

 

11 years ago

GPL

TMK WANAUME FAMILY WAKIKAMUA KATIKA USIKU WA ZAWADI DAR LIVE

Kundi la TMK Wanaume Family usiku wa kuamkia leo limefanya makamuzi ya nguvu katika shoo ya Usiku wa Zawadi iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

 

11 years ago

GPL

TMK WANAUME FAMILY, WEUSI WALIVYOFUNIKA SIKUKUU YA PASAKA DAR LIVE

Wasanii kutoka Makundi ya TMK Wanaume Family na wale wa Weusi walifanya kweli kwa kushusha bonge la shoo katika Sikukuu ya Pasaka ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Zakhem jijini Dar es…

 

10 years ago

GPL

MSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR

Wasanii wa Bongo Fleva wakiuaga mwili wa marehemu Yesaya Ambikile 'YP' katika Viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam. Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanj vya TCC, Chang'ombe, Dar.…

 

9 years ago

Global Publishers

Shoo ya Utangulizi Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live noma sana!

bella dar live (2) Malaika Band wakikamua shoo ya utangulizi ndani ya Dar Live.bella dar live (4) Makamuzi yakiendeleabella dar live (6)….mpiga Drama akifanya yake.
bella dar live (11)….mpiga gita naye akitoa vionjo vyake.bella dar live (18)Nyomi waliofika Dar Live kushuhudia shoo ya kufunga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016bella dar live (21) bella dar live (25) bella dar live (33)Shabiki maarufu wa Yanga, Mama Tunu akicheza jukwaani wakati wa shoo hiyo.bella dar live (41) bella dar live (43)Mashabiki wakijiachia jukwaani
bella dar live (51) bella dar live (55) bella dar live (63)
bella dar live (66)
bella dar live (89)…ni full kijiachia kuukaribisha 2016.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani