Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOP 10 YA TMT 2014 YATEMBELEA GLOBAL TV LEO

Baadhi ya wasanii walioingia Top 10 ya shindano la TMT 2014 wakiwa ndani ya studio za Global TV Online. Wasanii hao wakionyesha makeke yao ndani ya studio za Global TV Online leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STAA WA TMT 2014, MWANAAFA MWINZAGO ATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

Mwanaafa Mwinzago akipozi katika studio za Global TV Online. Mwanaafa akiweka microphone vizuri kabla ya kuhojiwa. MSHINDI wa milioni 50 za Tanzania Movie Talents (TMT)…

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO

 Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents wakipewa maelekezo ya jinsi magazeti ya kampuni hiyo yanavyoandaliwa hadi yanaponunuliwa na wadau wa habari  Maelekezo yakiendelea kwa washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publisher mara baada yakutembelea ofisi zao leo zilizopo 
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo

IMG_0933

IMG_0934

Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).

IMG_0945

Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014

Pichani (Katikati) ni Mwanaafa Mwinzagu ambae ni Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wafanyakazi na Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kitita cha Milioni 50 za Kitanzania katika fainali ya shindano la TMT lililomalizika Mnamo tarehe 30 Aug 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City...

 

11 years ago

GPL

TMT WAPATA ELIMU GLOBAL

Washiriki wa TMT wakiwa katika picha ya pamoja. KAMPUNI ya Proin Promotion imewadondosha washiriki wote kutoka kanda sita waliopatikana katika shindano la kuibua vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talent (TMT) katika Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar Juni 26, mwaka huu kujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na uchapishaji wa magazeti.… ...

 

10 years ago

GPL

MWAKILISHI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 ATEMBELEA GLOBAL LEO

Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa akiongea na mwakilishi wa Miss Universe Tanzania 2014, Nale Boniface. Nale Boniface katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. MWAKILISHI wa Miss Universe Tanzania kwa mwaka 2014, Nale Boniface leo ametembelea ofisi za Global Publishers Ltd na kufanya mahojiano katika Kipindi cha Mtu Kati kinachoruka kupitia Global TV Online. Katika mahojiano… ...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL YATEMBELEA MITAA YA AMANI, MAWENZI TABATA, DAR

Barabara  hii iliyoko Mtaa wa Mawenzi inapitika kwa shida kwa kujaa tope. Mwendesha bodaboda akipenya katika njia iliyojaa vikwazo vya kila aina.…

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TMT WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

Meneja wa washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT), Happiness Ntaga kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited akiwatambulisha washiriki (hawapo pichani) kwa wafanyakazi wa Global Publishers. Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka kanda mbalimbali Tanzania bara wakiwasili ofisi ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani