Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL yasaini mkataba wa zaidi ya sh.Bilioni Tano

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa utiaji wa saini ya mkataba kati ya  Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na  Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (USCAF) katika Hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Waziri Kindamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba wakisaini nyaraka za mkabata wa thamani zaidi ya  bilioni tano kwa TTCL kupeleka mawasiliano...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini

01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yasaini mkataba wa Sh. bilioni 15.5 kutoka benki ya ADB kuboresha kituo cha utafiti MUHAS.

Katibu Mkuu Wizara ya fedha Bw. Servacius Likwalile (kushoto) akisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa ajili ya kuboresha kituo cha utafiti wa magonjwa ya moyo kinachosimamiwa na Chuo Kuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Muwakilishi wa Benki ya ADB nchini Tonia Kandiero akisaini mkataba huo kwa niaba ya Rais wa benki hiyo Dkt. Donald Kaberuka.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI

 Meya Wa manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa akikabidhiana Mikataba na Mkandarasi kwa Ajili ya mradi wa maji kwa kata za Kipunguni B na Kivule.  Mkandarasi kutoka Kika Construction Mbaraka Kihawe wa pili kutoka kushoto akitia sahihi mkataba wa ujenzi wa mradi wa Maji kata za Kipunguni B na Kivule na Manispaa ya Ilala,Meya Wa Manispaa ya Ilala(mwenye miwani)akishuhudia Mwanasheria wa Manispaa Kulia akitia sahihi Mikataba Hiyo.

Wanainchi wa kata Za Kivule na Kipunguni B wakifuatilia...

 

11 years ago

GPL

MANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI‏

 Meya Wa Ilala Mh Jery Silaa Akiwasili kata ya Kipunguni na kupokelewa na Diwani wa kata Hiyo Na Viongozi wengine .  Mkandarasi wa kampuni Kika Construction Mbaraka Kihawe akimkaribisha Meya Wa Ilala Mh Jery Silaa kwenye meza kuu.…

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 KUPITIA MAPATO YA NDANI

FE1
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 hivi karibuni jijini Dar es salaam ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu.FE2Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilisha hati ya mkataba wa makubaliano na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16

09

Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.

Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania yasaini msaada wa zaidi ya Sh. Bilioni 134 kusaidia sekta ya kilimo na usafirishaji

01

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.

02

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.(Picha na Wizara ya...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Tanzania yasaini msaada wa zaidi ya Sh. Bilioni 134 kusaidia sekta ya kilimo na usafirishaji

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filberto Sebregond. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filberto Sebregond. (Picha na Wizara ya Fedha)...

 

10 years ago

Mwananchi

TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali

Benki ya Maendeleo (TIB), imesaini mkataba wa kiuetendaji na Serikali, hatua inayofungua milango kwa Serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani