Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuhuma za kutibu kwa ngono zipo kwa mwanasheria

JALADA la kesi ya waganga wa jadi wawili wanaotuhumiwa kubaka baada ya kutoa tiba kwa wanawake ili wapate watoto, kwa masharti ya kushiriki nao ngono bila kinga, limepelekwa kwa Mwanasheria wa Kanda wa Serikali kwa hatua zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waganga wa kutibu kwa ngono mbaroni

POLISI Mkoa wa Temeke, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI BAVICHA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA NYARAKA, VIDEO ZA NGONO

Na Karama Kenyunko, Michuzi TVMWENYEKITI wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA), Mkoa wa Kilimanjaro, Lemruce Mchome (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza nyaraka za ngono na video kwa nia ya kuleta ashki za ngono kinyume na sheria.
Mchome ambaye ni Mkazi wa Kisaranga wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro na pia ni Katibu wa Chadema wilayani humo, amefikishwa mahakamani hapo leo Mei 20,2020 na kusomewa kesi hiyo namba 77/2020 mbele ya...

 

11 years ago

Mwananchi

TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi

>Mwamuzi msaidizi wa soka nchini, Hamis Chang’walu anasakwa na Jeshi la Polisi akituhumiwa kwa wizi wa nguo za kike, maarufu ‘madela’ katika kesi ambayo inahusisha watu wengine watatu ambao wamekamatwa.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kagera, Henry MwaibambePOLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

10 years ago

CloudsFM

MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani