Tujifunze kuhusu majina (nouns)
Leo tunaanza mfululizo wa masomo yanayohusu majina (nouns). Kujua majina ni muhimu katika kujua lugha yoyote. Njia nzuri ya kujua majina kwa urahisi ni kuyagawa katika makundi mbalimabali. Leo tutaanza na majina ya vitu vinavyopatikana kwenye nyumba zetu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo06 Sep
TUJIFUNZE NINI TOKA MAJIRANI ZETU KUHUSU FAIDA YA KUTANGAZA NCHI?
Habari na picha za Freddy Macha
Fahari ya Kenya. Maonesho ya uzuri na urembo Tamasha la “Kenya in the Park”- Jumamosi iliyopita, tarehe 29 Agosti 2015, lilifana sana. Tamasha kama hili limewahi pia kufanywa mara nyingi na Ghana. Faida yake nini? 1. Kutangaza nchi. Kuendeleza wajasiriamali, elimu, wasanii, nk 2. Kukutanisha wananchi. Kuwaunganisha. Urafiki. Uzalendo. Kujuana. NETWORKING, kwa Kimombo. 3. Wageni huwajua na kutaka kuwatembelea. Utalii, kuwekeza na kuunga mkono miradi mbalimbali....

10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Sokomoko kuhusu majina ya wapiga kura Mwanza
Katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, kumetokea sokomoko, baadhi ya wakazi wanalalamika kwamba majina yao hayaonekani kwenye daftari la wapiga kura.
10 years ago
Africanjam.Com
SHERIA YA UJERUMANI NA DENMARK KUHUSU KUWAPA MAJINA WATOTO

Ujerumani na Denmark kisheria hawaruhusiwi kuwapa watoto majina yoyote nje ya majina 7000 ambayo tayari yamepitishwa, ikitokea mtu atapenda kumuita mwanae jina alipendalo basi atatakiwa kuomba kibali maalum kanisani alafu baadae maombi hayo yanawasilishwa Serikalini, jina likipitishwa basi unaruhusiwa kulitumia.
10 years ago
Vijimambo
VIDEO: NAPE AFUNGUKA KUHUSU MAJINA MATANO BORA YALIYOPITISHWA NA KAMATI KUU

11 years ago
Mwananchi13 Apr
Tujifunze Kiswahili kupitia magazetini
Ni vizuri tukaendelea kujifunza misingi ya lugha ya Kiswahili kwa kupitia makosa yaliyofanywa na waandishi mbalimbali hasa wa magazeti. Soma maelezo yafuatayo ili upate maarifa zaidi:“Waziri ahimiza kuzalisha wataalamu.â€
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Tufundishe na tujifunze lugha za kigeni
HAKUNA ubishi kwamba kuna tofauti kati ya mwanadamu aliyeishi maisha yake yote akifahamu lugha mo
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Maendeleo ya China, Tanzania tujifunze nini? - 2
Maendeleo ya viwanda yaliongezeka kwa kasi kwa Serikali kuruhusu uongozi wa vijiji kuanzisha viwanda vidogo na vya kati ambavyo viliwanufaisha wafanyakazi na mameneja wa viwanda. Havikuwa mali ya Serikali Kuu.
11 years ago
Mwananchi15 May
Vijana tujifunze ujasiriamali ajira hakuna
Serikali nyingi duniani, ikiwamo ya Tanzania zinahaha kuhakikisha zinawapa ajira vijana wake wanaotaka shuleni na vyuoni. Lakini pamoja na juhudi hizo hali bado tete.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Watanzania tujifunze kunufaika na jumuiya A. Mashariki
Tanzania ni moja ya waasisi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoanzishwa mwaka 1967, ikiwa na Uganda na Kenya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania