Tufundishe na tujifunze lugha za kigeni
HAKUNA ubishi kwamba kuna tofauti kati ya mwanadamu aliyeishi maisha yake yote akifahamu lugha mo
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Somalia Lugha za kigeni marufuku,ofisini
Rais wa Somalia amepiga marufuku ya matumizi ya lugha za kigeni katika ofisi za serikali ,lugha pekee ya mawasiliano ni kisomali.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Tuhamasishe, tufundishe na kuendeleza utengenezaji vitu
Paukwa, pakawa: Zamani za kale paliondokea wavuvi wawili. Kila mmoja alikuwa na mtumbwi wake. Walidamka usiku wa manane kwenda kuvua baharini.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali na hasa nyimbo, misemo, nahau na...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Tujifunze kuhusu majina (nouns)
Leo tunaanza mfululizo wa masomo yanayohusu majina (nouns). Kujua majina ni muhimu katika kujua lugha yoyote. Njia nzuri ya kujua majina kwa urahisi ni kuyagawa katika makundi mbalimabali. Leo tutaanza na majina ya vitu vinavyopatikana kwenye nyumba zetu.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Tujifunze Kiswahili kupitia magazetini
Ni vizuri tukaendelea kujifunza misingi ya lugha ya Kiswahili kwa kupitia makosa yaliyofanywa na waandishi mbalimbali hasa wa magazeti. Soma maelezo yafuatayo ili upate maarifa zaidi:“Waziri ahimiza kuzalisha wataalamu.â€
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Tujifunze umuhimu wa michezo kwa wenzetu
Mashindano ya 13 ya Shirikisho la Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa) yalifunguliwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Maendeleo ya China, Tanzania tujifunze nini? - 2
Maendeleo ya viwanda yaliongezeka kwa kasi kwa Serikali kuruhusu uongozi wa vijiji kuanzisha viwanda vidogo na vya kati ambavyo viliwanufaisha wafanyakazi na mameneja wa viwanda. Havikuwa mali ya Serikali Kuu.
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Tujifunze kwenye mvua za ukanda wa pwani
Kwa takriban siku tatu Watanzania hususan wa mikoa ya ukanda wenye mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro walikuwa katika misukosuko kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mfululizo katika maeneo hayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania