Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuhamasishe, tufundishe na kuendeleza utengenezaji vitu

Paukwa, pakawa: Zamani za kale paliondokea wavuvi wawili. Kila mmoja alikuwa na mtumbwi wake. Walidamka usiku wa manane kwenda kuvua baharini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!

Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]

 

10 years ago

Raia Mwema

Tufundishe na tujifunze lugha za kigeni

HAKUNA ubishi kwamba kuna tofauti kati ya mwanadamu aliyeishi maisha yake yote akifahamu lugha mo

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

Michuzi

UBUNIFU KATIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA

Aina mbalilmbali za barakoa zimeonakana katikamitandao ya kijami huku kukiwa na maelezo mbalimbali huku baadhi zikionekana si salama kwa afya lakini watu wameonekana wakizitumia.Hii sasa..

Kwa upande wa hii sijui kama ni kwaajili ya kujikinga na virusi vya Covid -19. 


Vidumu vya maji navyo vimeonekana kutukika kama Barakoa.  Majani ya Moga aina Kabichi nayo imetumika kama Barakoa
 Cha Msingi ni kujikinga na kuonekana kuwa umevaa Barakoa.

 

11 years ago

Mwananchi

Moro wafurika kujifunza utengenezaji bidhaa

Zaidi ya wakazi 1250 wa Morogoro na vitongoji vyake wamejitokeza kushiriki mafunzo ya ujasiriamali na utengenezaji wa bidhaa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mkoani humo.

 

10 years ago

Vijimambo

MIRIA KINUNDA NA UTENGENEZAJI WA SHURUBATI YA TANGAWIZI NA LIMAU


Modern Swahili Recipes For The West, cookbook is now Available at Amazon World-wide. Check Amazon in your country. Also in USA you can get at Walmart and Barnes and Noble Online or ask your nearest store. Now on sale at Amazon USA http://www.amazon.com/dp/0988735903/ Thank you Miriam Kinunda Author of Taste of Tanzania Cookbook

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Utengenezaji wa video mpya ya Asia ‘Leo’

Msanii wa muziki, Asia aliyetamba na wimbo ‘Mtoto wa Mjini’ anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Leo’ iliyoongozwa na kutayarishwa na kampuni ya Kwetu Studio. Tamaza picha za utengenezaji wa video hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTORESHA VIFARANGA VYA KUKU.

Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia  MRADI  WA ELIMU  YA  UJASIRIAMALI  MIJINI  NA  VIJIJINJI inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UTENGENEZAJI WA  MASHINE  ZA  KUTOTOLEA  VIFARANGA  WA KUKU. Mashine   zitakazo fundishwa  kutengeneza  ni  INCUBATOR  ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE  UWEZO  WA KUTUNZA  JOTO  KWA  SAA  48 PAMOJA  NA KUTOTORESHA  MAYAI   KUANZIA  240  HADI  5000.Vile  vile  yatatolewa  mafunzo  ya   UTENGENEZAJI  WA MAJIKO  SANIFU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani