NAFASI ZA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTORESHA VIFARANGA VYA KUKU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-n9bp6ERqjvQ/U-kMhAQk0ZI/AAAAAAAF-oE/UhATDYUzBZU/s72-c/unnamed+(23).jpg)
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA KUKU. Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza ni INCUBATOR ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE UWEZO WA KUTUNZA JOTO KWA SAA 48 PAMOJA NA KUTOTORESHA MAYAI KUANZIA 240 HADI 5000.Vile vile yatatolewa mafunzo ya UTENGENEZAJI WA MAJIKO SANIFU...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Nafasi za mafunzo ya utengenezaji wa mashine za kutotolesha Vifaranga vya Kuku.
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA KUKU.
Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza ni INCUBATOR ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE UWEZO WA KUTUNZA JOTO KWA SAA 48...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA TWIGA CEMENT YATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI BORA WA MATOFALI
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Wafugaji wapatiwa mafunzo kukabiliana na mafua makali ya Kuku na Nguruwe
Mwandishi Wetu Arusha
Zaidi ya wafugaji 300 wa Kuku na mifugo mbalimbali na wafanyabishara wa maduka ya madawa ya kilimo na mifugo wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa mbalimbali za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho mbalimbali vinavyotolewa na kampuni ya BYTRADE (T) LTD ilikukwepa magonjwa ya mafuwa na aina nyingine za magonjwa na virutubisha vya mifugo.
Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wafugaji na wauza dawa za mifugo mkuu wa idara ya wanyama wa kampuni ya...
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Baadhi ya wabunge mkoa wa Singida wapumulia mashine kwenye nafasi zao majimboni
Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Mh. John Chiligati pamoja na Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji wakipungia mikono wakazi wa Singida wakati wa mikutano ya chama cha Mapinduzi mkoani humo.
JIMBO LA MKALAMA.
Hili kwa sasa linafananishwa na ‘mzoga’ kwa madai hadi sasa kuna dalili ya watu 12 wanaonyesha dalili la kuliwania jimbo hilo ambalo zamani lilikuwa likijulikana kwa jina la Iramba mashariki.
Mbunge wa sasa Salome Mwambu wa CCM ambaye anamaliza kipindi chake cha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eFIrhMWIYG0/VcNYDZLBwLI/AAAAAAAHung/V5EPHufSFfQ/s72-c/DSC_2679.jpg)
UFUNGUZI WA KITUO CHA UTENGENEZAJI VIFAA VYA UMEME WA JUA,KIBOKWA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-eFIrhMWIYG0/VcNYDZLBwLI/AAAAAAAHung/V5EPHufSFfQ/s640/DSC_2679.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y8yk5sEocng/VcNYEWsAWcI/AAAAAAAHuno/YlbNigvZNPA/s640/DSC_2691.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Aug
Nafasi ya Mafunzo Online ya Ujasiriamali
Entrepreneurship E-Learning Training Opportunity run by DIT and ILOILO-Start and Improve Your Business (SIYB) program is a materials-based training program for potential and established entrepreneurs who want to improve the management processes of their business. The training is modular in order to meet the specific needs of the target group.
The Start and Improve Your Business (SIYB) is based on...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7J15eJzXs3w/VM-uNJQDjyI/AAAAAAAHBHM/QWz0KCPxmJ8/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI RafikiElimu FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-7J15eJzXs3w/VM-uNJQDjyI/AAAAAAAHBHM/QWz0KCPxmJ8/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Masaibu ya waombaji nafasi za Mafunzo kwa vitendo