Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masaibu ya waombaji nafasi za Mafunzo kwa vitendo

Ni kawaida kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kuomba nafasi ya kufanya mazoezi kwa vitendo katika taasisi, mashirika na kampuni ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mafunzo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mafunzo ya ndondi kwa vitendo kuanza leo Dar

SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), leo linaanza kutoa mafunzo ya mchezo huo kwa vitendo kwa waamuzi na mabondia kwa lengo la kuuboresha. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TPBC,...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mafunzo kwa vitendo wa askari wa wanyamapori katika mbuga ya serengeti

Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Wanyamapori cha Mweka  wakiwa katikati ya mbuga ya Serengeti mkoani Mara katika mafunzo  ya vitendo bila wasiwasi japokuwa nyuma yao kuna  kundi la nyati.

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAI - Tanzania Aspiration Initiatives imefanya mafunzo ya kulinda afya kwa vitendo kwa wanafunzi Zaidi ya 200 wa Darasa la Kwanza, la pili na darasa la awali katika shule ya msingi Kilimani iliyopa Sinza Uzuri wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa miradi miwili inayojulikana kama Mikono Ming’avu (MiMi) na Kinywa Kisafi (KiKi).
Miradi yote ina lengo kuu la kupambana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kama Magonjwa ya tumbo na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yatumia zaidi ya Bilioni 16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo

1

Afisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Bi. Scholastica Njozi akiwaeleza jambo waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa ziara iliyofanywa kwenye Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Omega Ngole.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali yatumia zaidi ya  Bilioni  16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo (the law school of Tanzania).

Hayo yamesemwa  leo jijini Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Jumatatu

DrMohamedGharibBilal1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal (pichani) anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano (Mawasiliano Towers), barabara ya Sam Nujoma, jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani