UBUNIFU KATIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA
![](https://1.bp.blogspot.com/-69GAIs_ARUw/XrkpFzx-IgI/AAAAAAALpw0/FhgQ7DXVVJgazVbR785zj6Hs59wyDMibQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-11%2Bat%2B12.32.20%2BPM.jpeg)
Aina mbalilmbali za barakoa zimeonakana katikamitandao ya kijami huku kukiwa na maelezo mbalimbali huku baadhi zikionekana si salama kwa afya lakini watu wameonekana wakizitumia.Hii sasa..
Kwa upande wa hii sijui kama ni kwaajili ya kujikinga na virusi vya Covid -19. Vidumu vya maji navyo vimeonekana kutukika kama Barakoa.
Majani ya Moga aina Kabichi nayo imetumika kama Barakoa
Cha Msingi ni kujikinga na kuonekana kuwa umevaa Barakoa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4nOD85cy-JI/XrAP1445Y3I/AAAAAAALpEM/t-N40Mx7iiUSqB_uJZnG_jTAZcDRo-MxwCLcBGAsYHQ/s72-c/852.jpg)
WAJUMBE KAMATI YA WAWAKILISHI CCM ZANZIBAR WATENGA MILIONI 33,000,000/- ZITAKAZOTUMIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA NA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4nOD85cy-JI/XrAP1445Y3I/AAAAAAALpEM/t-N40Mx7iiUSqB_uJZnG_jTAZcDRo-MxwCLcBGAsYHQ/s640/852.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-WOOCBWjbdAY/XrAP0103RXI/AAAAAAALpEI/2S24djwDQ0Ed5ZX15Hfyyus3rsrYiKeMwCLcBGAsYHQ/s640/784.jpg)
5 years ago
MichuziUKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI
Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...
5 years ago
MichuziKIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wasanii wetu waonyeshe ubunifu katika kazi zao
TUKIWA mwanzoni mwa mwaka tasnia ya filamu imeingia mwaka 2014 ikiwa imepiga hatua kiasi kutokana na wasanii kuboresha kazi zao, hasa baada ya kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamepiga hatua...
9 years ago
Mwananchi13 Sep
PETRONILLAH NYAMSISA : Ubunifu ndio msingi katika ujasiriamali
10 years ago
VijimamboJESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI WA SAMANI MAONESHO YA 39 YA BIASHARA KIMATAIFA, "SABASABA", MWAKA 2015
Na; Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza
Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa upande wa Utengenezaji bidhaa za Samani kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Jijini, Dar es Salaam Maarufu "SABASABA" kwa Mwaka huu 2015.
Akizungumzia ushindi huo Kamishna...
5 years ago
MichuziNBC WAMPONGEZA KOPLO TWAIBU KWA KUTOA ELIMU YA UVAAJI BARAKOA KATIKA DALADALA
Katika matukio mbali mbali ya kipekee, maofisa kwa Jeshi la Polisi Tanzania wameonyesha hekima ya hali ya juu na dhamira ya kuwatumikia, kuwalinda na kuhakikisha Watanzania wanatekeleza maelekezo ya wataalam ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa corona.
Aidha, benki hiyo ikishirikiana na...
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Ni kwanini watu katika baadhi ya mataifa wanatumia barakoa huku mengine hawatumii?