WAJUMBE KAMATI YA WAWAKILISHI CCM ZANZIBAR WATENGA MILIONI 33,000,000/- ZITAKAZOTUMIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA NA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI
Mfanyabiashara Mohamed Ibrahim Raza akionyesha Uzalendo wake wa kukubali kusaidia mchango wowote utaohitajika na Serikali katika Ustawi wa Jamii Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akionyeshwa moja ya aina ya vitakasa mikono vilivyotolewa na Mfanyabiashara Mzalendo Nchini Mohamed Ibrahim Raza {Raza Lee} kusaidia mapambano dhidi ya kuangamiza Virusi vya Corona Nchini.Kati kati yao ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Wananchi wa Ibaga kutumia milioni 88,703,000/= kujenga Zahanati
Majengo ya zahanati yanayoendelea kujengwa na mara yatakapokamilika yanatarajia kugharimu jumla ya shilingi 88,703,000/= na litawahudumia wakazi 5,190 wanaoishi katika kaya 865.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Mkalama
WANANCHI wa Kijiji cha Ibaga,tarafa ya Kirumi,wilaya ya Mkalama,Mkoani Singida wanatarajia kutumia jumla ya shilingi 88,703,000/= kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji hicho iliyoanza kujengwa mwaka 2013.
Hayo yamesemwa na afisa...
10 years ago
MichuziBalozi Seif Iddi afungua Semina ya usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS YAIPA JOWUTA Barakoa 1,000
5 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona
5 years ago
Michuzi9 years ago
Vijimambo17 Aug
Jipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com
10 years ago
GPLMANCHESTER UNITED WATENGA PAUNI MILIONI 100 KWA DI MARIA
10 years ago
MichuziZanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...