Wananchi wa Ibaga kutumia milioni 88,703,000/= kujenga Zahanati
Majengo ya zahanati yanayoendelea kujengwa na mara yatakapokamilika yanatarajia kugharimu jumla ya shilingi 88,703,000/= na litawahudumia wakazi 5,190 wanaoishi katika kaya 865.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Mkalama
WANANCHI wa Kijiji cha Ibaga,tarafa ya Kirumi,wilaya ya Mkalama,Mkoani Singida wanatarajia kutumia jumla ya shilingi 88,703,000/= kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji hicho iliyoanza kujengwa mwaka 2013.
Hayo yamesemwa na afisa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA




11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Kanisa kutumia zaidi ya shilingi 214 milioni kujenga shule
Waziri wa Mali asili na Utaliii na Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini,Lazaro Nyalandu.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA jipya la Miracle Assemblies of God Ministry (MAGM) mkoani Singida linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 214.1 milioni kugharamia ujenzi wa shule ya awali ya bweni.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Magreth Ndwete wakati akisoma risala fupi ya kanisa hilo kwenye hafla ya kusimikwa kwa askofu wa kwanza wa kanisa hilo John Sanongo Tesha (58), Mgeni rasmi katika hafla...
5 years ago
Michuzi
WAJUMBE KAMATI YA WAWAKILISHI CCM ZANZIBAR WATENGA MILIONI 33,000,000/- ZITAKAZOTUMIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA NA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI


11 years ago
Michuzi
WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15




11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Shirika kujenga zahanati Kitumbi
SHIRIKA la Atomtek Nuclear Energy Track limeahidi kujenga zahanati katika Kijiji cha Kitumbi, Kata ya Mkata, Handeni, Tanga. Kwa sababu hiyo ujenzi wa zahanati hiyo utawanufaisha wakazi wa Mkata na...
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt Fenella Mukangara ahaidi kujenga zahanati kwa wakazi wa Kwembe
Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam Bw Juma Simba Gaddafi akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Fenella Mukangara(kulia) na mgombea udiwani kwa tiketi chama hicho pia Bw Abeid jumanne kikoti(kushoto) wakati wa kampeni jana kwembe Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa kata ya Kwembe wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi...
11 years ago
Dewji Blog14 Aug
Ujenzi wa Zahanati kugharimu 384 Milioni Singida
Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina akitoa taarifa ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Picha na Maktaba).
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri ya Manispaa ya Singida, inatarajia kutumia zaidi ya shilingi 384.4 milioni, kugharamia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.
Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Joseph Mchina, alisema...
11 years ago
Habarileo07 Jul
TBL yakabidhi zahanati kisima cha milioni 25/-
KAMPUNI ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WAFURAHIA UJENZI WA ZAHANATI
Wananchi wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Serikali kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambazo zilisimama ujenzi kwa muda mrefu.
Hayo yamejitokeza kwenye ziara aliyoifanya Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ya kufuatilia ujenzi wa Zahanati ya Mitondi iliyopo Kijiji cha Mitondi B kata ya Kitama pamoja na Zahanati ya Miuta iliyopo Kijiji cha Miuta kata ya Miuta ambapo alikuta ujenzi ukiendelea kwa kasi hali inayowafurahisha Wananchi kiasi cha kuamua kujitoa...