Jipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com
Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja. Tunapokea video ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu yako au kamera yako. Nirahisi. Upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kuituma kwenda Je, wajua kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta yako...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Aug
Auawa kwa kisu deni la Tsh.2,000/-
DENI la Sh 2,000 limesababisha mpiga debe katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga kupoteza uhai wake baada ya kuchomwa kisu na mdeni wake.
11 years ago
GPL
JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA TSH 5,000/= KWA KUTABIRI MATOKEO YA YANGA NA MBEYA CITY
9 years ago
MichuziLAPF YATOA MSAADA WENYE THAMANI YA TSH 2,800,000/= KWA KITUO CHA AFYA MAKOLE DODOMA
Msaada huo umelenga kuboresha huduma kwa wagonjwa wanaolazwa kituoni hapo wengi wao wakiwa ni kina mama wajawazito na watoto. LAPF inaunga mkono jitihada za Serikali katika kuboresha huduma za Afya nchini.
Kadhalika ...
11 years ago
Dewji Blog21 May
Profesa Ana Tibaijuka akabidhi rasmi zawadi yake ya Tsh.9,500,000 kwa Mama Shujaa wa Chakula
Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally ‘Kipanya’ akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014.
Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji wa zawadi pamoja na kumkaribisha Mgeni rasmi apate kuongea na Mama...
10 years ago
VijimamboWATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU
9 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
MGIMWA AWAKUNA WAZEE NYAMIHUU WAMCHANGIA TSH 100,000 YA FOMU YA UBUNGE




Na matukiodaimaBlogWAZEE wa kijiji cha Nyamihuu kata ya Nzihi wamempongeza...
10 years ago
GPL