Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIHADITHIWE! JICHUKULIE DIKODA YA DISHI KWA TSH 50, 000 UPATE KUWAHADITHIA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Jipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com

Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja. kisakuzi-video-tanzania Tunapokea video ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu yako au kamera yako. Nirahisi. Upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kuituma kwenda Je, wajua kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta yako...

 

11 years ago

Habarileo

Auawa kwa kisu deni la Tsh.2,000/-

DENI la Sh 2,000 limesababisha mpiga debe katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga kupoteza uhai wake baada ya kuchomwa kisu na mdeni wake.

 

11 years ago

GPL

JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA TSH 5,000/= KWA KUTABIRI MATOKEO YA YANGA NA MBEYA CITY

Wapendwa wasomaji wetu kuzidi kuonesha jinsi tunavyowajali leo tunatoa muda wa maongezi wa Tsh 5,000/= kwa atakayetabiri sahihi matokeo ya mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Mbeya City mechi itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Dar. Ili kujishindia muda huo wa maongezi, LIKE ukurasa wetu wa facebook na utoe utabiri wako===>>https://www.facebook.com/Globalpublishers ...

 

9 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MSAADA WENYE THAMANI YA TSH 2,800,000/= KWA KITUO CHA AFYA MAKOLE DODOMA

Mfuko wa Pensheni wa LAPF wenye makao yake makuu mjini Dodoma, umetoa msaada wenye thamani ya shilingi 2,800,000/= kwa kituo cha Afya cha Makole. Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Mashuka 50, Vyandarua 50 pamoja na Vifaa mbalimbali vya kufanyia usafi kwenye kituo hicho.
Msaada huo umelenga kuboresha huduma kwa wagonjwa wanaolazwa kituoni hapo wengi wao wakiwa ni kina mama wajawazito na watoto. LAPF inaunga mkono jitihada za Serikali katika kuboresha huduma za Afya nchini. 
Kadhalika ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Profesa Ana Tibaijuka akabidhi rasmi zawadi yake ya Tsh.9,500,000 kwa Mama Shujaa wa Chakula

unnamed

 Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally ‘Kipanya’ akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014.

unnamed (1)

Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji wa zawadi pamoja na kumkaribisha Mgeni rasmi apate kuongea na Mama...

 

10 years ago

Vijimambo

WATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU

Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei 31 kulia ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus RunyetaMeneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akibonyeza kitufe...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248

 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa 
 Wannchi  wa  kijiji  cha Maholong'wa  wakimpongeza  mbunge  Filikunjombe kwa kutimiza ahadi yake…

 

10 years ago

Michuzi

MGIMWA AWAKUNA WAZEE NYAMIHUU WAMCHANGIA TSH 100,000 YA FOMU YA UBUNGE

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akishuka katika pikipiki (Boda Boda) akitoka kukagua ujenzi wa zahanati kijiji cha Nyamihuu leo.Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akikabidhi saruji mifuko 60 kwa mwenyekiti wa kijiji cha Nyamihuu Bw Richard Mbembe  kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kijiji kama sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake.Wazee kijiji cha Nyamihuu wakimchangia pesa za fomu Mgimwa kulia.
Na matukiodaimaBlogWAZEE  wa kijiji cha Nyamihuu kata ya Nzihi wamempongeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani