Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wetu waonyeshe ubunifu katika kazi zao

TUKIWA mwanzoni mwa mwaka tasnia ya filamu imeingia mwaka 2014 ikiwa imepiga hatua kiasi kutokana na wasanii kuboresha kazi zao, hasa baada ya kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamepiga hatua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NHC yaendesha kongamano na kuwataka watendaji wake kuongeza ubunifu katika kazi zao

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza jambo katika kongamano hilo ambapo alisisitiza umuhimu wa Watendaji wa NHC kuongeza ubunifu katika kazi zao ili kuongeza ufanisi wa kazi zao.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa ya I Phone 6 kwaajili ya kuboresha ufanisi kwa Ofisa Mwandamizi Uendelezaji Biashara Fatima Rajabu ambaye aliibuka mshindi wa jumla wa maigizo ya vitendo kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA TANZANIA WAPATA PA KUUZIA KAZI ZAO MTANDAONI

Baada ya kuhaha kwa muda mrefu kutafuta jinsi ya kuuza kazi zao, mkombozi wa swala la kuibiwa jasho lao amekuja kwa njia ya MKITO, mtandao ambao unauza kazi za wasanii mtandaoni kirahisi kabisa. 
KWA WASANII Tafadhali wasiliana na Mkito kwa simu namba +255 767 769 921 au kwa barua pepe support@mkito.com kwa mawasiliano zaidi.
Angalia banner hapo juu ya BLOG kama hiyo pichani na BOFYA uende kwenye mtandao huo moja kwa moja. La, kama vipi acha tukusaidie - BOFYA HAPA 

 

9 years ago

Bongo5

P-Funk adai ‘CMEA’ itahakikisha wasanii wananufaika na kazi zao

Professor Jay na Diamond wakiwa ndani studio ya P. Funk Majani

Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) imesema kasi mpya ya Rais Dk John Pombe Magufuli inaonesha matumaini mapya kwa wasanii.

Professor Jay na Diamond wakiwa ndani studio ya P. Funk Majani

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni mkurugenzi mkuu wa CMEA, Paul Matthysse aka P-Funk alisema sheria za haki miliki zipo vizuri lakini tatizo ni utekelezaji.

“Sisi tunaimani sana na Rais mpya kwa kasi aliyoanza nayo. Tatizo lililopo siyo sheria tatizo ni utekelezaji. Mimi kama CEO wa CMEA niko mstari wa mbele...

 

9 years ago

Bongo5

Mona G adai nguvu inayotumika kuwaadhibu wasanii wanapokosea, itumike pia kulinda kazi zao

Mtayarishaji wa muziki kutoka wa Classic Sound, Mona Gangster amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa , ‘Basata’, kuongeza nguvu ya kupambana na wezi wa kazi za wasanii na sio kuishia kuwaadhibu tu wanapokesea.. Mona amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa nguvu inayotumika kuwaadhibu wasanii wanaokwenda kinyume na maadili iende sambamba na ulinzi […]

 

9 years ago

Bongo5

COSOTA yaalika wasanii na watayarishaji wa muziki kwenye semina ya kujadili malipo ya matumizi ya kazi zao

Muziki Pesa

Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kimewaalika wasanii wa muziki pamoja na watayarishaji katika semina ya kujadidi malipo ya matumizi ya kazi zao.
Muziki Pesa

Semina hiyo itafanyika tarehe 25 siku ya jumatano, saa 4 asubuhi katika ukumbi wa Tanzania Commission For Science and Technology (COSTECH) Kijitonyama (Sayansi) jijini Dar es salaam.

Pia kwa msanii wa muziki pamoja na watayarishaji ambayo watapenda kushiriki wanatakiwa kuthibitisha uwepo wako kwa kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwenda kwenye namba...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wa kike walio katika mapenzi na wadogo zao

AUNTY34NA GEORGE KAYALA

NICK Cannon na Mariah Carey walifunga ndoa mwaka 2008, licha ya Mariah kuwa na umri mkubwa zaidi ya Nick.

Maisha yao yalikuwa na furaha na kila mmoja alimfurahia mwenzake, huku wakijivunia uhusiano wao uliopelekea ndoa yao kiasi kwamba wakapata watoto wawili mapacha, Monroe na Moroccan Scott Cannon.

Lakini baadaye wawili hao waliachana katika hali ya kutatanisha, kwa kuwa hakuna aliyewahi kuweka wazi kilichosababisha kutengana kwao, ingawa zipo tetesi kwamba wawili hao...

 

9 years ago

Bongo5

Hofu ya wasanii wengine kutoa kazi zao kipindi cha uchaguzi imenipa mimi uwanja wa kujidai — Belle 9

Wasanii wengi wa Bongo wamesitisha kutoa kazi zao katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kuzipoteza kwa kumezwa na kampeni za siasa, lakini Belle 9 aliamua kujitosa na kutoa video yake mpya ‘Shauri Zao’ wiki iliyopita. Belle 9 ameiambia Bongo 5 kuwa hajutii kutoa video katika kipindi hiki kwasababu kutokana na wasanii wengi kuogopa kutoa […]

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI

Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la GEPF Meneja Masoko na huduma kwa wateja…

 

11 years ago

Michuzi

VYUO mbalimbali nchini Vyashauriwa kujenga mahusiano ya kirafiki ili kubadilishana uzoefu katika kufanya kazi zao.

  Mtembeza wageni wa Kanisa la Mkunazini akiwafahamisha kitu wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kutoka Dar es salam walipokuwa wakitembelea Kanisa hilo.  Wanafunzi wakipata maelezo kwa Mtembeza wageni juu sehemu walipokuwa wakihifadhiwa watumwa Kanisani hapo.  Wanafunzi wakitoka nje kwa furaha mara baada ya kutembelea Kanisa la Mkunazini liliopo Mjini Unguja.   Hapa wanafunzi wakijichagulia katika moja ya maduka ya vinyago na nguo za Kiswahili yaliopo Ngome kongwe Mjini Unguja. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani