Hofu ya wasanii wengine kutoa kazi zao kipindi cha uchaguzi imenipa mimi uwanja wa kujidai — Belle 9
Wasanii wengi wa Bongo wamesitisha kutoa kazi zao katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kuzipoteza kwa kumezwa na kampeni za siasa, lakini Belle 9 aliamua kujitosa na kutoa video yake mpya ‘Shauri Zao’ wiki iliyopita. Belle 9 ameiambia Bongo 5 kuwa hajutii kutoa video katika kipindi hiki kwasababu kutokana na wasanii wengi kuogopa kutoa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Video yangu ‘Shauri Zao’ kuchezwa Trace Tv imenipa changamoto mpya — Belle 9
9 years ago
Bongo503 Nov
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Belle 9
![11899652_1643124802633842_393297353_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11899652_1643124802633842_393297353_n-94x94.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hvFrApu-zuw/U5q2ZOJY5hI/AAAAAAAFqSg/_NGq2Za66OQ/s72-c/top-banner-amini.jpg)
WASANII WA TANZANIA WAPATA PA KUUZIA KAZI ZAO MTANDAONI
![](http://4.bp.blogspot.com/-hvFrApu-zuw/U5q2ZOJY5hI/AAAAAAAFqSg/_NGq2Za66OQ/s1600/top-banner-amini.jpg)
KWA WASANII Tafadhali wasiliana na Mkito kwa simu namba +255 767 769 921 au kwa barua pepe support@mkito.com kwa mawasiliano zaidi.
Angalia banner hapo juu ya BLOG kama hiyo pichani na BOFYA uende kwenye mtandao huo moja kwa moja. La, kama vipi acha tukusaidie - BOFYA HAPA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wasanii wetu waonyeshe ubunifu katika kazi zao
TUKIWA mwanzoni mwa mwaka tasnia ya filamu imeingia mwaka 2014 ikiwa imepiga hatua kiasi kutokana na wasanii kuboresha kazi zao, hasa baada ya kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamepiga hatua...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hofu ya kuenea kwa corona kipindi cha Ramadhani
9 years ago
Bongo517 Nov
P-Funk adai ‘CMEA’ itahakikisha wasanii wananufaika na kazi zao
![Professor Jay na Diamond wakiwa ndani studio ya P. Funk Majani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Professor-Jay-na-Diamond-wakiwa-ndani-studio-ya-P.-Funk-Majani-300x194.jpg)
Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) imesema kasi mpya ya Rais Dk John Pombe Magufuli inaonesha matumaini mapya kwa wasanii.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni mkurugenzi mkuu wa CMEA, Paul Matthysse aka P-Funk alisema sheria za haki miliki zipo vizuri lakini tatizo ni utekelezaji.
“Sisi tunaimani sana na Rais mpya kwa kasi aliyoanza nayo. Tatizo lililopo siyo sheria tatizo ni utekelezaji. Mimi kama CEO wa CMEA niko mstari wa mbele...
9 years ago
Bongo505 Sep
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chawashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu
Pichani ni Zuhura Matata mgonjwa mwenye uhitaji wa upasuaji utakaofanyika nchini India.
Kipindi cha “Mimi na Tanzania” kinachoongozwa na mrembo aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce Temu, kinatoa shukrani kwa watanzania wote walioguswa na kufanikisha michango ya matibabu ya Zuhura Matata mwenye tatizo la kuvimba mguu ambao unahitaji Oparesheni nchini India.
Kupitia Akaunti yake ya mtandao wa kijamii Facebook muongozaji wa kipindi hicho Hoyce Temu ameandikia ujumbe wa...