Tujifunze kuvumiliana, Warioba ana uhuru wa kuchambua Katiba
Viashiria vya Tanzania kuingia katika siasa za umwagaji damu vimeanza kuonekana baada ya hivi karibuni aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, kufanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Feb
Bunge la Katiba watakiwa kuvumiliana
MWENYEKITI wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuvumiliana na kuwa wastaarabu wakati wa mijadala mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya
11 years ago
Michuzi12 Feb
9 years ago
Habarileo21 Aug
Wanasiasa watakiwa kuvumiliana
VIONGOZI wa kisiasa nchini wametakiwa kuwa na moyo wa kuvumiliana na kuepuka kutanguliza maslahi binafsi.
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Warioba ararua Katiba mpya
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema Katiba mpya iliyopendekezwa ina kila dalili ya kuvunja maridhiano, mshikamano na Umoja wa Kitaifa wa Serikali ya Mapinduzi...
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba