Tume Uchaguzi TZ: maandalizi tayari
Tume ya uchagazi ya Tanzania imesema maandalizi yote yapo tayari.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wagombea Zanzibar washukuru maandalizi mazuri tume ya uchaguzi NEC na ZEC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kipiga kura leo katika kituo cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Na Mwandishi wetu, Pemba
MAMIA ya wananchi wa visiwa vya Zanzibar wamejitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji wa kura kwa nafasi tano za Urais wa jamhuri wa muungano, Urais wa Zanzibar, Ubunge,...
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
10 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]
The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Michuzi
10 years ago
GPLTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI
10 years ago
GPL15 Sep