Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHAKIKISHA INAWEKA MIUNDOMBINU MIZURI KWA WALEMAVU.


Na John Gagarini, Kibaha.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC) imesema kuwa itahakikisha kuwa inaweka miundombinu mizuri kwa watu wenye ulemavu wakati wa uboreshaji wa zoezi la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalofanyika hivi karibuni.
Kutokana na umuhimu wa zoezi hilo Tume imejipanga kuhakikisha kila kundi ndani ya jamii ikiwemo ile ya walemavu wanashiriki kikamilifu zoezi hilo ambalo litaambatana na utoaji wa vitambulisho vipya vya wapiga kura vitakavyotumika kwenye wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa

Nigerian+President+Goodluck+JonathanNa Wandishi Wetu, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa  kuepuka machafuko  yasitokee nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea  kuwapo  uwazi, haki na kufuata  misingi ya utawala bora.

Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...

 

9 years ago

Vijimambo

MATOKEO KWA NGAZI YA UBUNGE KWA MAJIMBO YALIYOTANGWAZWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI HAYA HAPA

Baadhi ya wabunge wameendelea kutetea majimbo yao kwa kupata kura za kishindo, wakiongozwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyetetea jimbo lake la Hai, Joshua Nassar (Chadema, Arumeru Mashariki), Stephen Masele (CCM, Shinyanga Mjini), Jenister Mhagama (CCM, Peramiho), Silvestry Koka (CCM, Kibaha), David Silinde (Chadema,Momba), Aesh Hilaly (CCM, Sumbawanga Mjini), Joseph Selasini (Chadema,Rombo), Profesa Jumanne Maghembe (CCM Mwanga).

Jimbo la TundumaUbunge: Mwakajoka Frank (Chadema)...

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO 69 KWA NGAZI YA URAIS LEO MCHANA

Jaji Lubuva akiendelea kutangaza matokeo ya Urais kwa Majimbo yaliyo bakiaMatokeo yakiendelea kutangazwa

Baadhi ya waandishi wa Habari waangalizi pamoja na wageni wakiwa wanafuatilia kwa makini kutangazwa kwa matokeo
Kamera za Kutosha zikifuatilia tukio

Endelea kufuatilia

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA IDADI YA WAPIGA KURA KWA MAKUNDI NA MIAKA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 +



CHANZO: TUME YA UCHAGUZI

 

9 years ago

Michuzi

Vijana msitumike kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa - Tume ya taifa ya uchaguzi

Na Ally Daud-Maelezo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa vijana kutojihusisha na vitendo vya fujo katika kipindi hiki cha  kampeni  badala yake waelekeze nguvu na  juhudi  zaidi katika kujenga uchumi wa taifa.Akiongea katika mkutano uliowakutanisha NEC na wawakilishi wa vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid  (pichani) alisema kuwa  vijana wasitumike na vyama vya siasa kama kichocheo cha fujo .


“Vijana...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani

Mwenyekiti wa NEC Damian Lubuva Wednesday, September 9, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua […]

The post Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani