Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa idadi ya viti maalum
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva.
Na Lilian Lundo – Maelezo
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam.
Jaji Lubuva akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari alisema kwamba, kwa mujibu wa Ibara ya 66(1) (b) na Ibara ya 78 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA IDADI YA WAPIGA KURA KWA MAKUNDI NA MIAKA


CHANZO: TUME YA UCHAGUZI
10 years ago
Vijimambo
TUME YA TAIFA TA UCHAGUZI YATOA RATIBA YA MABADILIKO YA MIKUTANO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS, 2015






Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Blog
11 years ago
Michuzi
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

10 years ago
Michuzi
UFAFANUZI WA IDADI HALISI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA MUJIBU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa ratiba ya mwendelezo wa Uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura
Mkurugenzi wa idara ya habari ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bibi Ruth Masham.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii kupitia anuani zifuatazo.
http://tumeyataifayauchaguzi.blogspot.com
https://www.facebook.com/TumeyaTaifayaUchaguziTanzania https://www.youtube.com/channel/UCTA5ilGDEjAju3RbWhSORvw Follow @TumeYaUchaguzi http://www.hulkshare.com/TUME_YA_TAIFA_YA_UCHAGUZI Kwa maoni na ushauri waandikie Tume tumeyataifayauchaguzi@gmail.comTANGAZO NJOMBE.doc...
10 years ago
Michuzi
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...
10 years ago
GPL15 Sep
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
UWT Singida vijijini wafanya uchaguzi wa diwani wa viti maalum
Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilaya ya Singida vijijini, waliohudhuria mkutano mkuu wa uchaguzi wa viti maalum madiwani. Mkutano huo umefanyika jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mjumbe wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Singida vijijini,a kipiga kura kuchagua diwani wa viti maalum jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.
10 years ago
CHADEMA Blog