Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Uchaguzi mtegoni

Balozi Ombeni Sefue.
Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ikitarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, inakabiliwa na mtihani mgumu juu ya muda wa kufanyika kwa kura ya maoni ya kupitisha au kukataa Katiba pendekezwa iliyokabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete Oktoba 8, mwaka huu.

Ingawa kwa nyakati tofauti Nec imekuwa na msimamo kwamba kura ya maoni haitafanyika kabla ya kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura, kauli ya Rais Kikwete aliyoitoa juzi akiwa nchini China kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

GPL

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mmoja wa wanahabari akinyoosha mkono kuuliza swali kwa mwenyekiti huyo (hayupo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani