Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA UCHAGUZI YASISITIZA AMANI

Jaji Lubuva (kulia) akiwa na baadhi ya maofisa wa tume ya uchaguzi. Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali wakinoti mambo muhimu kwenye mkutano huo. Baadhi ya wadau na viongozi wa vyama vya siasa wakiwa kwenye mkutano huo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Uchaguzi yasisitiza kutumia BVR

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema haitatumia mfumo wa kupiga kura kwa njia ya mtandao (e-voting), badala yake imesisitiza azma yake ya kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) katika kuandikisha wapigakura licha ya kupingwa na baadhi ya wadau wa uchaguzi.

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Tume ya Uchaguzi imeweka amani rehani

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema Tume ya Uchaguzi isipotenda haki katika kutangaza matokeo, inaweza ikasababisha uvunjifu wa amani nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Tume yasisitiza nidhamu kwa watumishi wa Mahakama

Tume ya Watumishi wa Mahakama, imewataka watumishi wake kusimamia nidhamu na uwajibikaji wenye tija, kwani kwa kufanya hivyo kutapunguza malalamiko kutoka kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

TCRA yasisitiza amani ya nchi ilindwe

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitaka vyombo vya utangazaji kuendelea kutangaza habari zenye kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN: Yampongeza Rais Dk.Magufuli, yasisitiza amani na uwazi upande wa Zanzibar!

Ban kim

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Ban Ki Moon pichani. Ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.

[IKULU] Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari mapema leo na Ikulu, Imeeleza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Ban Ki Moon ametuma salamu hizo za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambaye...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA

Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mwanzoni mwa Mkutano wa Mwezi mmoja wa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Usimamizi wa Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa, (C-34). Katika baadhi ya mambo aliyosititiza ni pamoja na kuangaliwa upya kwa posho ya kila siku wanayolipwa walinzi wa amani ambayo ni dola 1.28, posho ambayo imedumu kwa miaka 20 bila ya kufanyiwa mabadiliko. Mkutano huo unafanyika ...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani