Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUMKUMBUKE MWALIMU NYERERE KATIKA SIKU YAKE LEO NA CONSTANTINE MAGAVILLA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Justa (founder of Curious on Tanzania) had the opportunity to interview one of Nyerere's philosophy followers. Meet Constantine Magavilla



Hapa ni Watanzania ambao walikutana na kujaribu kila mmoja kuongea juu ya wanavyoelewa history ya Mwl. Nyerere. Siku hii iliandaliwa na  Johanne Brierre pamoja  na Justa the Founder of curious on Tanzania anaeishi New York Siku ya tarehe 19 kwenye hotel ya Roges NYC. The Panelists:
Nathan Chiume - ModeratorDeogratius Mhella - SpeakerShabani Mbeba - SpeakerSofia Luangisa - SpeakerMteteaji Mlimwengu - SpeakerKwa Picha zaidihili kuona watu waliuojitokeza na kupata nafasi ya kuongea na kuuliza...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Magavilla

Untitled

HAVE A REFLECTIVE NYERERE DAY! Twitter @cmagavilla

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo...

 

5 years ago

Global Publishers

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye Shule ya Sekondari Pugu iliyokuwa ikimpa kipato cha kujikimu na kuendesha maisha yake.

Alifanya maamuzi hayo ya kuachana na kazi yake hiyo na kuingia rasmi kwenye shughuli za kisiasa kupitia chama cha Tanganyika African National Union(TANU), ambazo kwa wakati huo hazikuwa na malipo zaidi ya kujitolea na wakati mwingine zilipelekea mtu kutiwa hatiani na...

 

5 years ago

Global Publishers

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye Shule ya Sekondari Pugu iliyokuwa ikimpa kipato cha kujikimu na kuendesha maisha yake.

Alifanya maamuzi hayo ya kuachana na kazi yake hiyo na kuingia rasmi kwenye shughuli za kisiasa kupitia chama cha Tanzania African National Union, ambazo kwa wakati huo hazikuwa na malipo zaidi ya kujitolea na wakati mwingine zilipelekea mtu kutiwa hatiani na kubambikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani