Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunahitaji umakini Bunge la Katiba

NIMESIKITISHWA na jinsi Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilivyotendewa. Tunaalani vitendo vyote na matamshi yaliyolenga kuichafua Tume ya Katiba kwa malengo ya kisiasa. Kuchafuliwa ama kudhalilishwa kwa Tume ya Katiba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SAMIA HASSAN: Mwanamama aliyedhamiria kufanya kazi kwa umakini Bunge la Katiba

LEO namzungumzia Samia Suluhu Hassan, Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano. Samia pia amechaguliwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Tanzania tunapiga hatua...

 

10 years ago

Habarileo

Chenge: Umakini ulitumika Katiba Inayopendekezwa

MWENYEKIITI wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge alieleza umakini mkubwa uliofanywa na Bunge hilo wakati wa kuandaa Katiba Inayopendekezwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji katiba ya maridhiano

KESHOKUTWA Bunge Maalum la Katiba, lililoahirishwa Aprili 16 mwaka huu, linatarajia kuendelea na vikao vyake bila uwepo wa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UKAWA walisusia vikao vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji katiba yenye maridhiano

MIONGONI mwa habari zilizopo kwenye gazeti hili leo, ni kauli ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, akimtaka Rais Jakaya Kikwete, awaombe radhi Watanzania kwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunahitaji Bunge linalojali maslahi ya taifa

BAADA ya Uchaguzi Mkuu. Tumempata Rais, wabunge na madiwani. Kinachobaki sasa ni kazi.

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani