Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunawatakia ushindi Heroes dhidi ya Flying Eagles Jumapili

TIMU ya soka ya taifa ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, inakabiliwa na mechi ya kuwania tiketi ya fainali za Afrika zitakazopigwa mwakani nchini Senegal. Mechi hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Heroes out to tame Eagles

The national Under-20 team, Ngorongoro Heroes, face a daunting test today when they lock horns with Nigeria in the first leg of the qualifying series for the 2015 African Youth Championship. The match, which will kick off at 4pm, will be played at the 60,000-capacity National Stadium.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngorongoro Heroes waahidi ushindi

NAHODHA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, Aishi Manula, amesema wamejipanga kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Kenya itakayochezwa mji wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yasherehekea ushindi dhidi ya Nazi

Waride kubwa la kijeshi mjini moscow tangu kuvunjika kwa muungano wa Usovieti linafanyika hii leo nchini Urusi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi dhidi ya Chelsea ni muhimu

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba wachezaji wake walipita kikwazo kikuu kwa kuwashinda Chelsea siku ya jumapili katika kombe la Charity Shield.

 

9 years ago

BBCSwahili

China yakumbuka ushindi dhidi ya Japan

China imeadhimisha kumbukumbu ya miaka 70 tangu vita ya pili ya dunia, baada ya kuipiga Japan

 

10 years ago

Habarileo

Dk Sharjak azungumzia ushindi dhidi ya dawa za kulevya

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk Omar Dadi Sharjak amesema elimu kuhusu athari za dawa za kulevya na njia za kupambana nazo imepata mafanikio makubwa katika kudhibiti biashara ya dawa hizo na matumizi yake.

 

10 years ago

CloudsFM

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani