Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi yasherehekea ushindi dhidi ya Nazi

Waride kubwa la kijeshi mjini moscow tangu kuvunjika kwa muungano wa Usovieti linafanyika hii leo nchini Urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yasherehekea ushindi wake jijini Dar

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Urusi vitadumu

Viongozi wa kundi la mataifa yaliyostawi zaidi kiviwanda duniani G7, yamekata kauli kudumisha vikwazo walivyoiwekea Urusi

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine

Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atangaza vikwazo dhidi ya Urusi

Rais Barack Obama ametangaza kupanua uwigo wa vikwazo dhidi ya Urusi kufuatia mgogoro unaoendelea Ukraines.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya yaungana zaidi dhidi ya Urusi

Nchi za Ulaya zinasema zimeungana katika kuikabili nchi ya Urusi

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi

Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi,China zapinga hatua dhidi ya Syria

Uchina na Urusi zimepiga kura ya turufu, kuzuia jaribio la baraza la usalama, la kutaka kuifikisha Syria katika mahakama ya ICC

 

10 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Urusi kuanza rasmi leo

Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi vitaanza rasmi kutumika leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi dhidi ya Chelsea ni muhimu

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba wachezaji wake walipita kikwazo kikuu kwa kuwashinda Chelsea siku ya jumapili katika kombe la Charity Shield.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani