Vikwazo dhidi ya Urusi kuanza rasmi leo
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi vitaanza rasmi kutumika leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Vikwazo dhidi ya Urusi vitadumu
Viongozi wa kundi la mataifa yaliyostawi zaidi kiviwanda duniani G7, yamekata kauli kudumisha vikwazo walivyoiwekea Urusi
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Obama atangaza vikwazo dhidi ya Urusi
Rais Barack Obama ametangaza kupanua uwigo wa vikwazo dhidi ya Urusi kufuatia mgogoro unaoendelea Ukraines.
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Urusi yawekewa vikwazo
Canada imetangaza vikwazo dhidi ya Urusi kwa kile kinachodaiwa kupinga mashambulizi dhidi ya Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Kesi dhidi ya Ntaganda kuanza ICC leo
Kesi dhidi ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Congo Bosco Ntaganda kuanza leo katika mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Urusi kuwekewa vikwazo zaidi
Urusi kuwekewa vikwazo kufuatia kuhusishwa na mashambulizi Mashariki mwa Ukraine
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
G7 kuiwekea Urusi vikwazo zaidi
Viongozi wa nchi zenye uwezo mkubwa duniani G7 wamekubaliana kuiwekea vikwazo zaidi Urusi kwa kuchochea ghasia Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
G7 yatishia kuiongezea Urusi vikwazo
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema mataifa ya G7 yalikuwa tayari kuzidishia Urusi vikwazo zaidi, iwapo haitaheshimu makubaliano ya Ukraine
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Marekani yaiwekea Urusi vikwazo zaidi
Marekani yaiadhibu Urusi kwa vikwazo zaidi vya kiuchumi kutokana na kuhusika kwa Urusi katika mzozo wa Ukraine.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania