Urusi,China zapinga hatua dhidi ya Syria
Uchina na Urusi zimepiga kura ya turufu, kuzuia jaribio la baraza la usalama, la kutaka kuifikisha Syria katika mahakama ya ICC
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RVcy2WF9J7o/U375BQHTjCI/AAAAAAAFkks/DmbJ7iCCvRQ/s72-c/unnamed.jpg)
URUSI NA CHINA ZA KWAMISHA AZIMIO LA KUIPELEKA SYRIA ICC
![](http://2.bp.blogspot.com/-RVcy2WF9J7o/U375BQHTjCI/AAAAAAAFkks/DmbJ7iCCvRQ/s1600/unnamed.jpg)
Na Mwandishi Maalum Siku chache baada ya Bw. Lakhdar Brahimi ,Mjumbe wa Maalum wa Katibu Mkuu na Muungano wa Nchi za...
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Rubani wa Urusi aokolewa Syria
Urusi inasema kuwa msaidizi wa rubani wa ndege ya kijeshi iliyodunguliwa na Uturuki hapo jana ameokolewa na kurejeshwa katika kambi yao ya kijeshi iliyoo Syria.
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Nato yasikitishwa Urusi kuisaidia Syria
Nato imesikitishwa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.wa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Urusi yashambulia maadui wa Assad Syria
Urusi imeanza kufanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanaompinga rais wa Syria Bashar al-Assad
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria
Vladimir Putin amesema lengo la mashambulio ya ndege za Urusi nchini Syria ni kusaidia utawala halali wa Rais Assad.
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria
Urusi imeonya kuwa kuna hatari ya kuzuka vita hatari Syria baada ya Marekani kusema itawatuma wanajeshi maalum kusaidia waasi Syria.
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria
Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Urusi yatetea hatua ya kijeshi Ukraine
Urusi imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kwamba hatua yake ya kijeshi nchini Ukraine ni kulinda raia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania