URUSI NA CHINA ZA KWAMISHA AZIMIO LA KUIPELEKA SYRIA ICC
![](http://2.bp.blogspot.com/-RVcy2WF9J7o/U375BQHTjCI/AAAAAAAFkks/DmbJ7iCCvRQ/s72-c/unnamed.jpg)
Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi ambapo ilishindikana kupitisha Rasimu ya Azimio lililotaka kuipeleka Syria katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC) baada ya Urusi na China ambazo ni wajumbe wa kudumu wa Baraza hilo kupiga kura ya turufu (veto) huku nchi 13 zikipiga kura ya kuunga mkono.
Na Mwandishi Maalum
Siku chache baada ya Bw. Lakhdar Brahimi ,Mjumbe wa Maalum wa Katibu Mkuu na Muungano wa Nchi za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili23 May
Urusi,China zapinga hatua dhidi ya Syria
11 years ago
BBCSwahili23 Feb
Marekani yaunga azimio la UN huko Syria
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Rubani wa Urusi aokolewa Syria
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Nato yasikitishwa Urusi kuisaidia Syria
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Urusi yashambulia maadui wa Assad Syria
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria