Tundu Lissu: kwanini sikutokea Lowassa akijiunga CHADEMA?
![](http://img.youtube.com/vi/EL5eo9bWOHw/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/s93Zy4xNeZ0/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo28 Jul
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/GND0hCJtBx4/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOKHrXcHg31XWc8CTsVuMwjNHW*jW1v5rjxBXWEHYUS*H1EMukTSOwII9yuZJPCGDsx0u70k9WwvTRBPrHXJ78Fs/lissu.jpg?width=650)
Tundu Lissu…
Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Tundu Lissu atikisa Bunge
 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Tundu Lissu awalipua mgambo
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...
10 years ago
GPL29 Jul
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Tundu Lissu: Sitta ananitonesha vidonda
>Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu amesema ktendo cha Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kubadilisha kanuni kwa kutoa muda zaidi wa kuwasilishwa kwa rasimu ya katiba, kinamkera.
9 years ago
Vijimambo02 Sep
TUNDU LISSU AJIBU SHUTUMA ZA DR. SLAA
Mhe. Tundu Lissu akijibu shutuma alizotoa Dr. Slaa alipokua akifanya mahojiano na Sunday Shomari wa VOA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania