Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUONGEE WAZAZI : Tumia kosa la mtoto kumjengea nidhamu

Jamii zetu za Kiafrika zilikuwa na taratibu nzuri za kumwadhibu mtoto kwa lengo la kumfundisha pindi anapokosea. Taratibu hizi zililenga kumpa mtoto uzoefu kwa kumjenga kukabiliana na changamoto za maisha yaliyomzunguka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwa  na  shida  sana  hasa  kwa  upande  wa  wanaume  kuwatelekeza  watoto. Mara  nyingi  wanaume  ndio   hutelekeza  watoto  kuliko  wanawake. Zipo  baadhi  ya  kesi  zimeripotiwa  zikihusisha  wanawake  kuwatelekeza  watoto   lakini hizi  si  nyingi  kama  ilivyo  kwa  wanaume. Hii  ni kwasababu  uwezekano  wa  mwanaume  kumkimbia  mtoto  ni  mwepesi  kuliko mwanamke  kumkimbia  mtoto/watoto.  Jambo  hili  ni  baya  na  limeshakemewa  na  sheria  mbalimbali.  Nataka...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Habarileo

'Wazazi zingatieni haki za mtoto'

WAZAZI na walezi wa watoto wamehimizwa kuzingatia haki za mtoto katika malezi yao kuanzia ngazi ya familia kwa kuwapa stahili zote muhimu zinazotajwa katika Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayorusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa watu watatu

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa wazazi watatu kuzaliwa Uingereza

Wabunge nchini Uingereza wameunga mkono sheria inayoruhusu uzaaji wa wa watoto wenye vinasaba, kutoka kwa wanawake wawili na mwaume mmoja,

 

9 years ago

Michuzi

Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake

Jina: Muhdini Ally Kature
Miaka: 12, mweupe 
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani