Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUPAMBANE KUTETEA HAKI YA MKISI NA WATU WA VWAWA.

Malisa GJNaandika haya nikiwa na uchungu mwingi nafsini. Kuna mambo yanayofanywa na serikali ya CCM yanatia hasira, yanaudhi, yanakatisha tamaa. Naomba nitumie fursa hii kumshauri Rais Magufuli kuwa akiendelea kukaa kimya kwenye mambo haya wananchi watapoteza hata ile imani kidogo waliyoanza kuionesha kwake.Vitendo vya ukiukwaji wa wazi wa demokrasia ktk chaguzi mbalimbali ni mambo ya kawaida

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wanafunzi wapewa mafunzo ya kutetea haki za wanyama

Mkurugenzi mtendaji wa jumuiya ya utetezi na haki za wanyama Zanzibar Ali Abdalla Juma amesema kutoa mafunzo juu ya haki za wanyama kwa wanafunzi ni hatua muhimu ya kurithisha imani kwa jamii juu ya kufanya utetezi na kutokuwaadhibu wanyama kwa hali yeyote ile.

Mkurugenzi huyu anasema wameamua kushererhekea siku ya haki ya wanyama Dunia kwa kufanya Mdahalo kwa mashindano ya kutamka herufi mbali mbali kwa lugha ya kingereza takriban kwa skuli 19 za msingi na sekondari katika sentensi zenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

THRDC na harakati za kutetea watetezi wa haki za binadamu

MTETEZI wa haki za binadamu ni mtu yeyote ambaye amejitolea kupinga dhuluma na uonevu dhidi ya binadamu. Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakuhitaji kuwa na shahada wala stashahada kama...

 

10 years ago

Michuzi

Mabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas kashililah akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka taasisi inayojishughulisha na masuala ya kibunge ya Parliamentarians for Global Action Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Ujumbe huo upo kwenye ziara yao ya kikazi kutembelea kila Bunge Duniani na kueleza malengo na mipango yao hususani kuangalia namna wanavyoweza kushirikiana na wabunge kutatua baadhi ya masuala yahusuyo haki za Binadamu. Kulia ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LILIAN LIUNDI : Mikataba kutetea haki za wanawake iwe shirikishi

SIKU ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila ifikapo Machi 8  ya kila mwaka. Katika siku hii wanawake wote duniani huungana kutetea haki zao, kutafakari michango yao katika jamii, mafanikio na changamoto...

 

10 years ago

Michuzi

MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU


Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani akabidhi tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa kutetea haki na jamii nchini

_DSC0234_DSC0210

Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.

Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya  uwazi na ukweli  Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.

Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea taasisi ya Dream Success...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA‏

Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha Skafu Saed Kubenea. Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi...

 

10 years ago

GPL

JAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA‏

Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani